Kwanini Bei ya mafuta kwa walaji haishuki kwa kasi? - Mh. Zitto Kabwe
![](http://3.bp.blogspot.com/-l6TLzhhBmFM/VKklcK6cjaI/AAAAAAAG7Js/qkEl7Leu1rU/s72-c/unnamed.jpg)
Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei ambayo ni karibia ile ile kwa miezi michache iliyopita.
EWURA,inasemekana, wamesema kuwa bei za hapa nchini hushuka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Zitto Kabwe, MB04 Jan
Kwanini Bei ya mafuta kwa walaji haishuki kwa kasi?
Kwanini Bei ya mafuta kwa walaji haishuki kwa kasi?
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2012/12/ewuuu1.jpg)
EWURA
Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei ambayo ni karibia ile ile kwa miezi michache...
10 years ago
GPLKWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?
11 years ago
Bongo530 Jul
Zitto Kabwe apongeza nguvu ya mitandao ya kijamii kwa kusababisha kusitishwa kwa ajira katika idara ya uhamiaji
10 years ago
MichuziMada ya mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia na athari zake kwa nchi yawasilishwa kwa maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje
10 years ago
Vijimambo08 Jan
Mada kuhusu mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia na athari zake kwa nchi yawasilishwa kwa maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje
Bw. Allan William mtaalamu wa sekta za kibenki nchini, akizungumza katika mhadhara na Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa juu ya Mwenendo wa bei za mafuta duniani na athari zake kwa nchi yetu, mhadhara huo umefanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa JNICC uliopo jijini Dar es Salaam mapema leo Asubuhi.
Balozi Simba Yahaya, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati (wa kwanza kulia), Balozi Mbelwa Kairuki (wa pili kutoka kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na...
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Zitto Kabwe
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Zitto Kabwe aongoza kwa wafuasi wengi mtandaoni
10 years ago
StarTV07 Jan
EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.
comprar kamagra baratoKushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.
Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...
10 years ago
MichuziZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA KAGERA KWA MARA YA KWANZA LEO
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Akifurahia mara baada ya kutua Bukoba na tayari kuwahutubia wakazi wa mji wa Bukoba leo wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mashujaa/Uhuru Platform Bukoba leo Jumatatu tarehe 15 june, 2015. Kiongozi huyu ambaye amefuatana na viongozi wenzake wa juu wa chama hicho, yuko kwenye ziara ya kukitangaza chama na sera mpya ya azimio la arusha lenye usasa.