Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


L U C Y KOMBA AMPELEKEA MZUNGU MWANAYE AMLEE

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe sambamba na kumpelekea mwanaye amlee. Staa wa filamu Bongo, Lucy Komba akiwa na mume wake(mdenmark) wakati wa harusi yao. Akipiga stori na paparazi wetu kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lucy Komba Ampelekea Mzungu Mwanaye Amlee

Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe Janus, sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.

Akipiga stori na paparazi wa GPL kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake, pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

LUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU

Na Mwandishi Wetu
MSANII wa filamu za Kibongo, Lucy Komba amefunguka aachwe adendeke hadharani na mpenzi wake Mzungu Janus kwani ni mtu mwenye malengo naye. Msanii wa filamu za Kibongo, Lucy Komba akiwa na mchumba wake aliyetambulika kwa jina la Janus. Akizungumza na mwandishi wetu mara baada ya kuhojiwa juu ya picha zilizozagaa mitandaoni, Lucy alisema kuwa picha hizo alizipiga akiwa na mchumba wake huyo kwa hiari yake....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lucy Komba na Mzungu wake kuoana Septemba

UVUMI kwamba mwigizaji Lucy Komba kuwa katika mahusiano na mzungu kutoka nchini Denmark, zimedhihirika kuwa ni kweli baada ya wawili hao kupanga kufunga ndoa Septemba mwaka huu. Lucy, muongozaji, mtunzi...

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA AGOMA KUMZALIA MZUNGU WAKE!

Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe, imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado hayupo tayari kuzaa naye. Msanii wa filamu Bongo, Lucy Komba akiwa na mumewe siku ya harisi yao. Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilieleza kuwa, Lucy mpaka sasa hafikirii hata kidogo...

 

11 years ago

GPL

BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE

Stori: Mwandishi Wetu, KAHAMA
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Majengo, Kahama mkoani Shinyanga, Said Siraji (13) anaendelea vizuri katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama alikolazwa baada ya kunusurika kifo kwa kuchinjwa shingoni na baba yake mzazi kwa madai ya kushindwa kumtibu mtoto huyo kwa matatizo yake ya afya. Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, Dokta Joseph Fwoma alisema Said anaendelea vizuri baada ya...

 

10 years ago

GPL

SHIJA AMWANIKA MWANAYE

Msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija akiwa na mwanaye, Theresia Shija (14). Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija amemwanika mwanaye na kudai ndiye faraja kwake kila anapomuona. Shija alisema mwanaye aliyemtaja kwa jina la Theresia Shija (14), amekuwa ni faraja kubwa katika maisha yake na kila anapomwangalia anapata nguvu ya kufanya kazi. “Ukweli nimekuza,...

 

10 years ago

GPL

NISHA AMWANIKA MWANAYE

Stori: Gladness Mallya MASTAA wana mambo! Baada ya kukataa kwa muda mrefu kwamba hajawahi kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika mwanaye anayejulikana kwa jina la Iptysam Othman ‘Angel’ mwenye umri wa miaka 10. Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha akiwa na mwanae. “Mimi ni mama bora, ndiyo maana nimekuwa  nikiulizwa na vyombo mbalimbali vya habari kama nina...

 

11 years ago

Habarileo

Mgimwa- Mimi si Mzungu

MGOMBEA ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amesema hana chembe yoyote ya uzungu. Amesema anakishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kumtuhumu kwamba si Mtanzania.

 

11 years ago

GPL

DUH! MZUNGU AFUMANIWA

Na Waandishi Wetu
NI kweli duniani kuna mambo na mambo yenyewe hufanywa na binadamu! Mzungu mmoja ambaye jina lake halikupatikana, amejikuta mikononi mwa polisi kufuatia kunaswa gesti akiwa na denti, OFM wa Ijumaa walikuwepo. Mzungu baada ya kunaswa na OFM akiwa na denti gesti. Tukio hilo la aina yake kwa mwaka 2014, lilitokea saa saba usiku wa kuamkia juzi katika gesti hiyo iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam. DENTI AKWEPA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani