Lema: Vijana jiandaeni kisaikolojia
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), amesema Serikali ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM), imeshindwa kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini, hivyo akawataka vijana wanaohitimu elimu wajiandae...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMHE. GODBLESS LEMA AFUNGUA WARSHA YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KWA VIJANA JIJINI ARUSHA
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Lowassa: Mwanza jiandaeni
11 years ago
Habarileo25 Jun
'Watanzania jiandaeni uchumi wa gesi'
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, aliwataka Watanzania kujiandaa na uchumi wa gesi, kwa kuwa ndio utakaotoa ajira mpya nyingi na za uhakika.
10 years ago
Habarileo25 Jun
Nyalandu: WanaCCM jiandaeni kwa ushindi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema CCM ni chama pekee nchini ambacho kimefanikiwa na kinaendelea kupanua wigo wa demokrasia.
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Yanga jiandaeni mapema, Waarabu wepesi tu
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
‘CCM Msasani jiandaeni kwa uchaguzi’
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Msasani, wametakiwa kujipanga vema ili kupata viongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu. Katibu Mkuu wa CCM Mkoa...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Wanamichezo jiandaeni kwa bidii Michezo Afrika
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Io_aUYgdD_I/XpXnEixyKvI/AAAAAAAAQrk/QdiSvYoS08ULGL1jIMi8bYffotLdePa6gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200412_104439_522.jpg)
JIANDAENI KIUCHUMI KULETA MABADILIKO PAMOJA NA KULINDA AFYA ZENU JUU YA COVID -19
![](https://1.bp.blogspot.com/-Io_aUYgdD_I/XpXnEixyKvI/AAAAAAAAQrk/QdiSvYoS08ULGL1jIMi8bYffotLdePa6gCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200412_104439_522.jpg)
Baadhi ya waumini wakiwa katika Ibada ya pasaka katika kanisa Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Mlandizi Dayosisi ya Magharibi na Pwani Picha na Vero Ignatus.
![](https://1.bp.blogspot.com/-VwXFwly2DpQ/XpXmclAhQsI/AAAAAAAAQrU/Mca-YN8a5v40fD0isFKXlfzcIHA2R2kuwCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200412_104432_490%2B%25282%2529.jpg)
Baadhi ya waumini wakiwa katika Ibada ya pasaka katika kanisa Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Mlandizi Dayosisi ya Magharibi na Pwani wakiwa wamekaa bila kusongamana.Picha na Vero Ignatus.
Na.Vero Ignatus ,Mlandizi Pwani
Katika kuadhimisha sikukuu ya pasaka inayoonyesha upekee wa Imani ya Kikristo duniani Jamii imetakiwa kujikita...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Tumejiandaa kisaikolojia na kura ya maoni?