Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lembeli: Tutasafisha Wizara ya Ardhi

lmblNa Elizabeth Mjatta
IKIWA ni takriban wiki tatu tangu Rais Jakaya Kikwete amuondoe kazi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema itahakikisha viongozi wanaofanya vitendo vya kifisadi katika wizara hiyo wanaondolewa.
Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, James Lembeli, wakati wa ziara ya kukagua eneo la kituo cha huduma cha mfano kilichopo Luguluni eneo la Mbezi Luisi,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar

IMG-20141114-WA0009

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-

1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;

2.TAREHE...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI AFANYA JITIHADA KUBORESHA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA YA WILAYA

Katibu Mkuu wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Alphayo J.Kidata, amefanya ziara katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na kufanya maboresho, pamoja na kuahidi maboresho zaidi. Mhe. Kidata amefanya ziara hiyo ya ghafla katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya za Kinondoni na Ilala ili kubaini uendeshaji wa kazi katika Mabaraza hayo. Akisomewa ripoti fupi na mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni, Bw. Yose Mlyambina pamoja na mambo mengine...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla wataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka wizara ya ardhi kufika haraka Mvomero

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mh. Amos Makalla amewataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka wizara ya ardhi kufika haraka Mvomero kukutana na wananchi wa Vijiji vyote ambao ni wadau wa bonde la Mgongolwa ili kutoa Elimu, kutoa tafsiri na kuwapa mipaka mipya kufuatia hukumu ya kesi ya muda mrefu iliyotolewa wiki iliyopita.
Makalla akiyasema hayo wakati wa Mkutano wake na wananchi hao leo kwenye kijiji cha Mkindo Bungoma ndani ya Jimbo hilo la Mvomero.Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wizara ya ardhi wafurahia utendaji wa Nchi ya Singapore namna ya utawala bora katika ardhi

Ujumbe wa Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi umemaliza ziara yake nchini Singapore huku ukiwa umejifunza mambo muhimu ikiwemo kuwepo utawala wa sheria katika usimamizi wa ardhi, kutokuwepo rushwa, nidhamu na uaminifu mkubwa wa watumishi wa umma, jamii inayopenda kujitegemea na usalama wa hali ya juu. Yafuatayo ni matukio ya ziara hiyo kwenye Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Singapore(URA) kama yalivyoratibiwa na Muungano Saguya.

NHC1

Ujumbe wa NHC...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula astukizia baraza la ardhi kinondoni

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akiangalia mafaili ya kesi mbalimbali katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Kinondoni, jijini Dar es salaam, alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza hilo, kulia kwake ni karani wa baraza hilo, Bahati Rashidi.

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akitazama utunzwaji wa mafaili katika masijala alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza la Ardhi na Nyumba la...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge laibana Wizara ya Ardhi

BAADA ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali kutoa makucha yake na kuibana Serikali ilipe madeni ya hifadhi za jamii yanayofikia Sh trilioni 8.4, na pia kufichua kasoro kadhaa katika hesabu za Serikali, kamati nyingine ya Bunge nayo imeibuka na kuibana Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi juu ya utata wa hati za viwanja.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MLOGANZILA WAVAMIA WIZARA YA ARDHI

Wakazi wa Mloganzila wa Kata ya Kwembe  wilayani Kinondoni wakiwa katika Ofisi ya Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili kudai fidia maeneo yalichukuliwa katika Mradi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,jijini Dar es Salaam leo.  Mwenyekiti wa Kamati ya Kufatilia Madai  kwa  Wakazi  wa Mloganzila –Kwembe,Fedrick Schone akitoa malalamiko yao katika Ofisi za wizara ya  Nyumba na Maendeleo ya Makazi kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumishi Wizara ya Ardhi watimuliwa kikaoni

WATUMISHI kutoka Wizara ya Ardhi na wale wa Halmashauri ya Bagamoyo wamejikuta katika  wakati mgumu baada ya kutimuliwa katika kikao kilichoandaliwa na wakazi wa Kijiji cha Makaani Gama, Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani