Leo Mtanage wa Foosball ndani ya kiota cha Jackie’s Bar Masaki
Baadhi ya timu zikishiriki mchezo wa foosball Liquid Lounge and Bar Iliyopo Chang’ombe jijini Dar es salaam.
Mareferee wa mchezo wa mezani ‘foosball’ wakiteta jambo na wachezaji watimu Vidume Allan Mabwa (wa kwanza kulia) na Laurent, pale Brazil, Tegeta jijini Dar es salaam Kama hujapata nafasi ya kuingia kwenye mashindano haya ya ‘foosball’ fika leo maeneo pale Jackie’s bar iliyopo Oysterbay Dar es salaam mkabala na makao makuu ya Heineken Tanzania.
Na Mwandishi Wetu
Tumeingia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
Skylight Band yaendelea kuunguruma ndani ya kiota kipya cha Lukas Pub Masaki, usikose leo
Mwimbaji kutoka Bendi ya Skylight, Sony Masamba akitoa burudani ndani ya kiota cha Lukas Pub huku akisindikizwa na wasanii wenzake ambao ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK...
10 years ago
Dewji Blog01 May
Njoo tusheherekee Mei Mosi pamoja na Skylight Band leo ndani ya kiota chaThai Village, Masaki
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0265.jpg)
NJOO TUSHEHEREKEE MEI MOSI PAMOJA NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHATHAI VILLAGE, MASAKI
10 years ago
Dewji Blog22 May
Skylight Band yarejesha ratiba yake ya burudani kila Ijumaa, sasa ni kiota kipya cha “Lukas PUB” Masaki leo
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani).
Ashura Kitenge mwenye sauti ya kumtoa nyoka panoni akiimba kwa hisia kali huku akisindikizwa na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 Jumamosi iliyopita ndani ya Mzalendo Pub.
9 years ago
Dewji Blog20 Dec
‘Skylight Sunday Bonanza’‬ ndio habari ya mujini jumapili ya leo ndani kiota cha Escape One
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao Jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam
Waimbaji wa Bandi ya Skylight, Leah pamoja na Suzy wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita sasa leo sio siku ya kukosa njoo ujionee mambo mapya kutoka kwenye bandi ya Skylight.
Ukafika muda wa kuzungusha mduara na kuona...
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
Skylight Band kusindikiza Tamasha la Fahari ya Mwafrika ndani ya kiota cha Escape One leo Jumamosi
9 years ago
GPLSKYLIGHT BAND KUSINDIKIZA TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE LEO JUMAMOSI
9 years ago
MichuziNJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10