Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Libya yaomba msaada kuzima moto

Serikali ya Libya inaomba msaada wa kimataifa ilikuzima moto mkubwa unaoendelea kuchoma hifadhi ya mafuta mjini Tripoli.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Libya yaomba kuondolewa vikwazo

Libya imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuiondolea vikwazo vya silaha ili iweze kupambana na magaidi

 

10 years ago

Mtanzania

Kashfa ya Escrow, Jk kuzima au kuchochea moto

 

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

FREDY AZZAH na SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
IKIWA leo ni siku ya 23, tangu Novemba 29,mwaka huu Bunge lilipopitisha maazimio nane juu ya kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Rais Jakaya Kikwete anatazamiwa kuuzima ama kuchochea moto wa sakata hilo atakapozungumza na wazee wa Jiji la Dar es Saalam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Rais Kikwete leo atazungumza na wazee hao katika...

 

10 years ago

Mwananchi

AU, mataifa yasaidie kuzima moto Burundi

Tumepokea kwa masikitiko habari kwamba Serikali ya Burundi nusura ipinduliwe na nchi inawaka moto kwa risasi. Waliosababisha hali hiyo ni baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Burundi walioamua kuchafua hali ya hewa ya nchi hiyo kipindi ambacho uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliamua kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

 

9 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI SECONDARY YA AZANIA WAFUNDISHWA JINSI YA KUZIMA MOTO

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala.Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala jana tarehe 15 Oct, 15.
‘’Tayari tumeuzima’’...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola: Liberia yaomba msaada

Waziri wa habari wa Liberia Lewis Brown amesema nchi yake haiwezi kuimudu hali ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukraine yaomba msaada wa ulinzi

RaisPoroshenko amevitaka vikosi vya umoja wa mataifa vya kulinda amani kupelekwa mashariki mwa nchi yake kukomesha vita

 

11 years ago

Habarileo

Vifaa vya kuzima moto bila maji vyagharimu mil. 200/-

KIKOSI cha Zimamoto na uokoaji nchini, kimenunua vifaa 100 vitakavyosaidia kuzima moto bila kutumia maji vyenye thamani ya Sh milioni 200.

 

10 years ago

Mwananchi

Interpol yaomba msaada kumkamata jangili

Hatimaye Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) imewapigia magoti Watanzania ikitaka msaada wao katika kumsaka mtuhumiwa wa kwannza katika kesi ya utoroshaji wanyamapori hai 100 kwa ndege ya jeshi la Pakistani kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

 

9 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wajifunza mbinu za kuzima moto

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala.

 Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala jana tarehe 15 Oct, 15.

‘’Tayari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani