Libya:Mshukiwa wa shambulizi mahakamani
Mmoja ya washukiwa wakuu wa shambulizi lililomuua balozi wa Marekani nchini Libya afika mbele ya mahakama nchini Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Mshukiwa wa Mpeketoni mahakamani
Mshukiwa aliyekamatwa na polisi kuhusiana na mauaji yaliyotokea Mpeketoni Pwani ya Kenya, amefunguliwa mashitaka ya mauaji
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Shambulizi lawaua watoto 6 Libya
Watoto sita wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa nchini Libya baada ya shule yao mjini Benghazi kushambuliwa kwa guruneti.
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Vikosi vya Libya vyatibua shambulizi
Shambulizi lililolenga kituo cha mafuta mashariki mwa Libya halikufua dafu baada ya vikosi vya serikali kufanya mashambulizi.
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Mshukiwa wa Al shabaab akamatwa Kenya
Maafisa wa polisi nchini Kenya wanasema wamemnasa mshukiwa mkuu wa Al-Shabaab ambaye aliingia nchini humo kutafuta matibabu.
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Mshukiwa wa ugaidi ashtakiwa Bangkok
Mtu aliyekamatwa kuhusiana na mlipuko wa bomu mjini Bangkok ameshtakiwa kwa kosa la kupatikana na silaha.
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Mwili wa mshukiwa wa 3 wa ugaidi wapatikana
Mwili wa 3 umepatikana katika nyumba ya Saint-Denis iliovamiwa na maafisa wa polisi kuhusiana na shambulizi la Paris,kulingana na kiongozi wa mashtaka nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Dhamana ya mshukiwa wa pembe yakataliwa
Mahakama imetupilia mbali ombi la kuachiliwa kwa dhamana Feisal Mohammed Ali anayeshukiwa kuwa mlanguzi mkubwa wa pembe za ndovu.
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Mshukiwa wa mauaji Kenya na TZ afariki
Mmoja wa watu waliopanga mashambuliz ya kigaidi kwenye balozi za marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998 ameaga dunia
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Mshukiwa wa tatu akamatwa Mombasa
Polisi mjini Mombasa Pwani ya Kenya, wamemkamata mshukiwa wa tatu wa ugaidi na kunasa silaha zaidi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania