LICHA YA KUAMINI MABABU NA MIIKO, MADAGASCAR INA UPEKEE WA MIMEA YA ASILI 14,000
![](https://1.bp.blogspot.com/-IZVEIkS24sQ/XrD7AMLWidI/AAAAAAALpII/JrKn_TVgowcrtf8zgCXHNXOOzvy5WvbsQCLcBGAsYHQ/s72-c/c1.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMADAGASCAR imekua nchi ya kwanza barani Afrika kutangaza dawa ya asili inayotibu virusi vya Corona ambapo Rais wa nchi hiyo Andry Rajoelina aliwataarifu wananchi juu ya uimara wa dawa hiyo na Mei 03, 2020 Rais wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli aliuhakikishia umma juu ya Serikali ambayo hailali kwa Kuhakikisha wananchi wote wanakua salama na kueleza kuwa yupo tayari kutuma ndege nchini Madagascar ili kuleta dawa ambayo itawasaidia watanzania waliopatwa na...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-IZVEIkS24sQ/XrD7AMLWidI/AAAAAAALpII/JrKn_TVgowcrtf8zgCXHNXOOzvy5WvbsQCLcBGAsYHQ/s72-c/c1.jpg)
LICHA YA KUAMINI MABABU NA MIIKO, MADAGASCAR INA UPEKEE WA MIMEA YA ASILI 14,000
![](https://1.bp.blogspot.com/-IZVEIkS24sQ/XrD7AMLWidI/AAAAAAALpII/JrKn_TVgowcrtf8zgCXHNXOOzvy5WvbsQCLcBGAsYHQ/s640/c1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tanzania ina waganga wa jadi na wakunga wa tiba asili 75,000 huku 6000 pekee ndio wamesajiliwa
Msajili Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Mboni Zuwena Bakari, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akielezea kuhusu maendeleo ya tiba hiyo. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Tiba Asilia na Tiba Mbadala, Dk. Paulo Mhame na kulia ni Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Catherine Sungura.
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Imeelezwa kuwa Tanzania ina waganga wa jadi na wakunga wa tiba asili 75000 ambaapo waliosajiliwa pekee...
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Idadi ya walioambukizwa yaongezeka Madagascar licha ya kuwa na 'dawa'
11 years ago
Mwananchi12 Apr
IBRAHIMU SOKOINE: Licha Uwaziri Mkuu, baba hakuacha asili
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
‘Kagera ina walemavu 150,000’
ASAS ya kiraia ya Karagwe Community Based Rehabilitation Program (KCBRT), imesema kuwa, mkoa wa Kagera una jumla ya walemavu 150,000, wanaokabiliwa na changamoto mblimbali. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu...
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Licha ya kupata mwekezaji; Usafirishaji mizigo waporomoka kutoka tani 1.4 milioni hadi 200,000
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya corona: Baadhi ya majimbo yaanza kufunguliwa licha ya idadi ya vifo kuwa zaidi ya 50,000 Marekani
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WjB4zfBtxxY/XldHplmfoMI/AAAAAAALfpA/1NKlU_rR8ZsqxfpmfoYqD72nscVYBPxgwCLcBGAsYHQ/s72-c/ma.jpg)
UPEKEE WA RAIS MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-WjB4zfBtxxY/XldHplmfoMI/AAAAAAALfpA/1NKlU_rR8ZsqxfpmfoYqD72nscVYBPxgwCLcBGAsYHQ/s320/ma.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anasifikia kuwa na sifa kuu 3 ambazo ni Uzalendo, Uadilifu na Uchapa kazi. Nje ya utambuzi huo Rais Magufuli amejipambanua kuwa ni Kiongozi mwenye maono, utashi wa kisiasa na uthubutu wa hali ya juu unaomfanya aweze kukwamua yaliyoshindikana na aweze kuweka historia isiyofutika kwa Taifa kwa vizazi na vizazi.
Twende pamoja utaelewa nachokisema. Suala la Serikali kuhamia Dodoma lilikuwapo tangu mwaka 1973...