Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UPEKEE WA RAIS MAGUFULI

Na Emmanuel J. Shilatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anasifikia kuwa na sifa kuu 3 ambazo ni Uzalendo, Uadilifu na Uchapa kazi. Nje ya utambuzi huo Rais Magufuli amejipambanua kuwa ni Kiongozi mwenye maono, utashi wa kisiasa na uthubutu wa hali ya juu unaomfanya aweze kukwamua yaliyoshindikana na aweze kuweka historia isiyofutika kwa Taifa kwa vizazi na vizazi.

Twende pamoja utaelewa nachokisema. Suala la Serikali kuhamia Dodoma lilikuwapo tangu mwaka 1973...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Upekee wa Hifadhi ya Saadani usiotangazwa

Kila hifadhi ya taifa ina upekee wake. Na hicho hukifanya kuwa kivutio kwa watalii. Hifadhi ya Taifa ya Saadani ina vivutio vya kihistoria kama vile wanyama, mito na bahari. Nadhani ni hifadhi pekee inayoweka pamoja vivutio vyote.

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye  leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

5 years ago

CCM Blog

LICHA YA KUAMINI MABABU NA MIIKO, MADAGASCAR INA UPEKEE WA MIMEA YA ASILI 14,000


 Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMADAGASCAR imekua nchi ya kwanza barani Afrika kutangaza dawa ya asili  inayotibu virusi vya Corona ambapo Rais wa nchi hiyo Andry Rajoelina aliwataarifu wananchi juu ya uimara wa dawa hiyo na Mei 03, 2020 Rais wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli aliuhakikishia umma juu ya Serikali ambayo hailali kwa Kuhakikisha wananchi wote wanakua salama na  kueleza kuwa yupo tayari kutuma ndege nchini Madagascar ili kuleta dawa ambayo itawasaidia watanzania waliopatwa na...

 

5 years ago

Michuzi

LICHA YA KUAMINI MABABU NA MIIKO, MADAGASCAR INA UPEKEE WA MIMEA YA ASILI 14,000

 Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMADAGASCAR imekua nchi ya kwanza barani Afrika kutangaza dawa ya asili  inayotibu virusi vya Corona ambapo Rais wa nchi hiyo Andry Rajoelina aliwataarifu wananchi juu ya uimara wa dawa hiyo na Mei 03, 2020 Rais wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli aliuhakikishia umma juu ya Serikali ambayo hailali kwa Kuhakikisha wananchi wote wanakua salama na  kueleza kuwa yupo tayari kutuma ndege nchini Madagascar ili kuleta dawa ambayo itawasaidia watanzania waliopatwa na...

 

9 years ago

StarTV

Utendaji Wa Rais Magufuli wawafanya Wakenya kutamani awe Rais wao

Raia wa Kenya wamewataka Watanzania kutoa ushirikiano kwa Rais Dokta John Magufuli katika juhudi zake ya kupambana na Ufisadi na Ubadhilifu wa mali za umma anazoendelea kuzichukua tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba tano mwaka huu.

Wakenya hao wamesema kimsingi hata wao wanatamani kuwa na Rais  kama Dokta Magufuli kwa sababu ameonesha kuwa ni Mzalendo anayeipenda nchi yake na anayepigania maslahi ya wananchi masikini ambao kwa miaka kadhaa wamekosa fursa ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu ashiriki msiba wa mjukuu Rais Dk. Magufuli!

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki Nov 11, 2015. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu zilifanyika leo Nov 13, 2015 Kimara jijini Dar es Salaam, na baadaye msiba huo kusafirishwa kuelekea Mkoani Mwanza kwa maziko. Picha na OMR.

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga

1.jpgRais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.ms15.jpgRais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
ms16.jpgRais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.ms17.jpgRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA KWA SIMU NA RAIS MTEULE WA BURUNDI, LEO

Rais Dk. John MagufuliIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini Burundi iliyoagiza Rais Mteule aapishwe haraka.

Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemtakia heri Rais Mteule Ndayishimiye kuelekea kuapishwa kwake kuwa Rais wa  Burundi kutakakofanyika hivi karibuni.

Rais Magufuli amemhakikishia Rais Mteule Ndayishimiye kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020 Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister
Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani