Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Kuu kuweka rekodi matangazo ya Tv

Kuna uwezekanao mkubwa wa kupanda kwa gharama za matangazo ya televisheni kwa ligi kuu England

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

9 years ago

Mwananchi

Maxime ataka kuweka rekodi Mtibwa Sugar

Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amesema anasubiri kwa hamu kuweka rekodi ya kutwaa taji la Ligi Kuu Bara na timu hiyo akiwa kama kocha na mchezaji, rekodi ambayo haina mwenyewe hadi sasa klabuni hapo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiemba afurahia kuweka rekodi akiwa Azam

Kiungo wa Azam, Amri Kiemba amesema anafurahia kutua katika klabu hiyo kwani kutampa fursa ya kushiriki mashindano ya kimataifa mapema mwakani huku akiweka rekodi ya kipekee.

 

9 years ago

Bongo5

Yaya Toure ashinda tuzo ya BBC na kuweka rekodi mpya

Toure

Kiungo wa klabu ya Manchester City ya England na timu ya taifa Ivory Coast Yaya Toure ameshinda tuzo ya mchezaji bora Afrika inayotolewa na Shirika la Utangazaji nchini England (BBC) kwa mwaka 2015.

Toure

Toure anakuwa mchezaji watatu ambae amewahi kuchukua tuzo hiyo mara mbili akiungana na Nwanko Kanu pamoja na Jay-Jay Okocha (wote wa Nigeria) ambao waliwahi kutwaa tuzo hiyo mara mbili.

Nyota huo wa Ivory Coast amesema anajivunia kuwa mshindi wa tuzo hiyo ambayo mshindi hupatikana kwa kupigiwa...

 

9 years ago

Bongo5

Drake awa msanii wa nne kuweka rekodi hii kwenye Billboard

Huu umekuwa mwaka mzuri kwa Drake. Aliachia mixtape ya ushirikiano na Future, What a Time To Be Alive na sasa amefikisha nyimbo 100 kwenye chart ya Billboard Hot 100 tangu aanze kufanya muziki miaka sita iliyopita. Rapper huyo anayetokea nchini Canada alikuwa na nyimbo 92 kabla ya mixtape yake kutoka Jumapili iliyopita ambapo nane kati […]

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU

Mzazi wa mtoto Idda Baitwa,Bw Respcius Baitwa akifanya maandalizi na mwanae ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akiwa na baba yake mzazi Bw Respcius Baitwa pamoja na ndugu zake wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akijiandikisha katika lango la Umbwe la kupanda mlima Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima huo.nyuma yake ni Bw...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani