Ligi ya Mabingwa Ulaya: Safari ya Berlin yaanza kuiva
>Tayari timu nne zilizotinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2014/15 zimeishajulikana na ratiba ya mechi za hatua hiyo imeishapangwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
9 years ago
Bongo504 Nov
Matokeo ya ligi ya mabingwa Ulaya, November 3
Mechi za ligi ya mabingwa wa Ulaya ziliendelea tena usiku wa November 3. Kulikuwa na mechi katika viwanja vinane tofauti kwa michezo ya Kundi A, B, C na D kupigwa.
MATOKEO YA MECHI HIZO;
Shakhtar Donetsk 4-0 Malmo FF
B. Monchengladbach 1-1 Juventus
Benfica 2-1 Galatasaray
Real Madrid 1-0 Paris Saint-Germain
Sevilla 1-3 Manchester City
PSV 2-0 VfL Wolfsburg
Manchester United 1-0 CSKA Moscow
FC Astana 0-0 Atletico de Madrid
10 years ago
GPL11 years ago
Mwananchi21 Apr
Miamba minne vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Arsenal wapewa Barca ligi ya mabingwa Ulaya
10 years ago
GPLBARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
9 years ago
Bongo504 Nov
Mechi za ligi ya mabingwa Ulaya leo November 4
Ligi ya Mabingwa inaendelea leo,November 4 katika viwanja mbalimbali timu ya Bayern Munich itawakaribisha Arsenal Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Kundi F, Roma na Bayer 04 Leverkusen Uwanja wa Olimpico Kundi E, Chelsea na Dynamo Kyiv Uwanja wa Stamford Bridge Kundi G.
Mechi nyingine ni kati ya Maccabi Tel Aviv na FC Porto Uwanja wa Bloomfield Kundi G, Lyon na Zenit St Petersburg Uwanja wa Stade de Gerland Kundi H, KAA Gent na Valencia CF Uwanja wa Ghelamco Arena Kundi H, Olympiakos...
9 years ago
Bongo517 Sep
Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya