Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIKIZO MNAENDA BUSH AU MNAKIMBILIA DAR?

MADENTI mambo vipi? Tunakutana tena katika wikiendi nyingine ambayo wengi wenu inawakuta mkiwa likizo. Ni kipindi cha kwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki popote walipo. Kipindi hiki kinanikumbusha sana mambo ya enzi zile aisee, yaani wakati wa likizo ni full purukushani. Wakati huo, wengi walikuwa wanakimbilia kwenda Dar, si unajua tena mimi nilisoma mkoa, kwa hiyo kipindi kama hiki kikifika, ni shiida! Waliokuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) mjini Dallas,Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete walitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush alizipata katika ziara yake rasmi ya Tanzania wakati akiwa Rais wa Marekani. Maktaba hiyo ya kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la...

 

11 years ago

TheCitizen

Man hides in ‘a bush’? No; in ‘the bush’

In the January 19 edition of the Sunday tabloid that’s close to this columnist, there’s a photo on Page 3, whose caption reads: “Geita Primary School teacher … opens a toilet door which has been damaged by a recent downpour. Pupils answer to the call of nature in A NEARBY BUSH.”

 

10 years ago

BBCSwahili

George HW Bush avunjika shingo

Aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni alipoanguka nyumbani kwake huko Maine.

 

11 years ago

Habarileo

Bush ahimiza marais kushirikiana

RAIS wa zamani wa Marekani, George W. Bush ametaka marais kuungana kwa pamoja kuimarisha afya ya mama na wasichana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afya ya Bush yaimarika hospitalini

Aliyekuwa rais wa Marekani George Bush atasalia hospitalini wikendi hii lakini huenda akatoka hivi karibuni.

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI WAMPA LIKIZO JB

Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’. Imelda Mtema LIKIZO! Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa amelazimika kujipa likizo ya lazima kwa kutofanya shughuli za sanaa hadi pale uchaguzi utakapopita. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, JB alisema ameamua kusimama kazi zake za sanaa kwani kwa sasa kila mtu anawaza mambo ya uchaguzi na hakuna chochote anachoweza kufanya kikapokelewa bila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maandalizi ya likizo ya uzazi

MOJA kati ya mambo yanayomsaidia mzazi, hasa mwanamke ambaye ameajiriwa, ni likizo ya uzazi anayopatiwa pale anapojifungua. Yapo masharti mengi yanayoendana na likizo ya uzazi, lakini kwa mujibu wa sheria...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nitagombe Urais Marekan:Jeb Bush

Gavana wa zamani wa jimbo la Florida nchini Marekani Jeb Bush amesema anataka kujitosa katika kinyang’anyiro cha Urais.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeb Bush kugombea urais Marekani

Gavana wa jimbo la Florida Jeb Bush ametangaza nia ya kugombea urais wa Marekani katika uchaguzi ujao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani