LINAH: NASAKA MIMBA
![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpxlEGY8XzEkS3VNy3mCzWOirqrKp6Ye3Pse2utZjstxgf8iISax-6FcJKE6GBLgT5--Byn7J6tR5TuoTsNMjIew/linah.jpg?width=650)
Na Musa Mateja STAA wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ juzikati ameweka wazi nia yake ya kusaka mtoto, Risasi Mchanganyiko linakushushia. Estelina Sanga ‘Linah’. Akizungumza na mwandishi wetu Desemba 9, mwaka huu jijini Dar, Linah alisema tangu alipoingia kwenye muziki hakuwahi kufikiria kushika ujauzito kwa kuwa alikuwa bado hajajiandaa kufanya hivyo. Nyota huyo ambaye aliwahi kuzama ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JCVRBTTob5kv3MR1VQoUfdVEZm4xEd0-Ry-gh*7SDD-8UHneHICLE-HjwWryNhtZrqWXHD-JOU7CkSiX8igg0eMtivA1koC*/mimba.jpg?width=650)
MIMBA YA LINAH YACHOROPOKA
SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa, msanii wa Bongo Fleva, Astelinah Sanga ‘Linah’ amenasa ujauzito wa mdosi aitwaye Nagar, Amani limenyetishiwa kuwa ujauzito huo umechoropoka. Astelinah Sanga ‘Linah’. Kwa mujibu wa chanzo, ujauzito huo umechoropoka hivi karibuni na kumfanya Linah kukosa raha kwa kuwa ndoto yake ilikuwa kupata mtoto. “Ni kweli Linah alikuwa na ujauzito lakini umetoka na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb3G6EZR2Y-IIZiB0dt5YxYnuRoAKXATF00qUv79nnG3*kA3rR8*wJd7hRuB9UC*-oG7mA1FBSMVUx7tWLes4aI3/linah.jpg?width=650)
LINAH ADUNGWA MIMBA NA MDOSI
Stori: Mwandishi Wetu
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Estelinah Sanga maarufu kama Linah, anadaiwa kupewa ujauzito na kijana mmoja wa Kihindi anayejulikana kwa jina moja la Nagar. Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa msichana huyo aliyeibukia kutoka kituo cha kukuza vipaji cha THT, amekuwa karibu na Mhindi huyo anayedaiwa kuishi Mbezi jijini Dar es Salaam kwa muda mrefu sasa na kwamba mimba hiyo imeonekana...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQgNXgxpw2zUxux66JtrKMb2ONLplRJG-MiYGFBgz6yEd29Pzx2IZoXxSpdH5LiytD1WanMvIFrShitXyPSobjbQ/mlele.jpg)
MAI AMCHOKONOA LINAH
Gladness Mallya
KATIKA kinachoonekana kama kumchokonoa nyota wa muziki Estalina Sanga ‘Linah’, mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameunga mkono kitendo cha Wema Sepetu kumchukua mpenzi wa Mbongo Fleva huyo Nangari Kombo. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai aliweka picha ya Wema akiwa na Kombo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumpongeza kwa kumpata ingawa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQhgx4CGr8bWBgIyDoKiVxr7uwQbmPjceKuLhg3MZq70bxhinnhE9FsryEPH2GZc5PBxMSt0*XF10waAqvJR8lV8/Wema.jpg)
WEMA AMKEJELI LINAH!
Imelda Mtema
NI shiida! Siku chache baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Esterlina Sanga ‘Linah’ kulalamika juu ya kitendo cha Wema Sepetu ‘Madame’ kumchukua aliyekuwa bwana’ake Nangari Kombo, muigizaji huyo ameibuka na kutoa maneno yanayoashiria kejeli, kuwa aache presha, kwani zile ni picha tu! Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madame'. Katika gazeti la Risasi Jumamosi,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhOtwxjgb5-X3k2AnFkc12uE*17R3u1D5f3QnQqKR6vx87jU5-pr20fyFQ7RQII1pvMlpxwBIwFr*TlRQzN7ekWG/linah.jpg?width=650)
LINAH:NAFUNGA NDOA SOON
Stori: Musa Mateja
MSANII mwenye sauti mwanana anayetesa kwenye Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’, amefunguka kuwa, ndoa yake na mpenzi wake Nagari Kombo ‘Kaka wa Bongo’ inanukia. Linah akipozi na mpenzi wake Nagari Kombo wakati wa utoaji tuzo za Kili. Linah alisema hayo wikiendi iliyopita aliponaswa akijiachia na Kaka wa Bongo katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar ambapo mpango mzima wa Tuzo za...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7N3fV0znBcAXSS5XRWKCk87er3RN1C655ddsjCo8ey7Aa8ZLMLa-XO9Uy5OZNnS77HPME1nQUJmT2b5ZOsjapXn/linah.jpg)
LINAH: KWAHERI THT
Stori: SHAKOOR jONGO
Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli zake nchini Afrika Kusini. Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ Akizungumza na Ijumaa msemaji wa...
11 years ago
Michuzi11 Jun
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania