LINAH, UNAPENDA PAJA LAKO AU MATANGAZO?
Staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga. KUNA mambo mengine yanafanywa na wasanii wetu yanachanganya sana akili, kiasi cha kukufanya ufikiri mara mbili kama huwa wanafanya tafakuri kabla ya kusema au wanafanya makusudi kwa malengo maalum? Wakati mwingine unadata zaidi unaposikia kauli kama hizo zimetolewa na mtoto aliyelelewa katika aina ya maisha unayoamini yana maadili na vitu kama hivyo. Estelina Sanga, maarufu kama Linah, ni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Jun
MAKALA: Mkojo, mbegu za kiume zinapotokea kwenye paja
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Lv7jNlIZxZoETDAI6pAqIDQZsZGWyISJBQIV*DQqigY*v*ktkSaTZynNjDf-MHlNhaUAT*hXzOjsO8OKtAKdP-4/kitime.jpg?width=650)
JE, UNAPENDA BIA ZA BURE?
10 years ago
Vijimambo07 Oct
MAMA AMKATA MWANAYE PAJA,ACHOMA MSHIKAKI, SOMA MKASA MZIMA HAPA.
![](http://www.bongoclan.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/UKATILI1.jpg)
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Koka Moita alisema mwanamke huyo ataendelea kushikiliwa hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika kabla ya kupelekwa mahakamani.
Akizungumza na Gazeti la...
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-81reXyAxctU/VWlPHQBZrcI/AAAAAAAAutg/I-7KCucLsQk/s400/uji.jpg?width=600)
JE, UNAPENDA KUWA MREMBO NA MWENYE MVUTO KWA HARAKA?
9 years ago
Bongo514 Nov
Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka
![joh davido](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/joh-davido-300x194.jpg)
Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.
Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.
Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Aaa76ACbkjIV-zhPCTm52WNMac31xApFOmKnzuGcdVU9WcGfVPa3GWOaH3lRXrXDfNCV1wbgI3b9cYqozhzz*7CO0pRbZKpR/7.jpg)
NAFASI YA NDUGU KATIKA PENZI LAKO
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Vaa hereni kulingana na umbo lako
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Usililinde penzi lako kwa uongo
ASALAM aleykum msomaji wa safu hii ya Urafiki na Mahusiano. Nakukaribisha katika safu hii inayotufundisha mambo mbalimbali ya kuishi vema na wapenzi wetu. Hivi wewe ni muongo? Upo katika mahusiano...