Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIPUMBA AKIMBIZWA HOSPITALI

Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba. Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya  UN Clinic ya Kinondoni, Dar,  baada ya presha kushuka akiwa makao makuu ya polisi kujibu shutuma za kuandamana jana. (HABARI: DENIS…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SUGE KNIGHT AKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUSHIKWA NA MAUMIVU YA KIFUA AKIWA MAHAKAMANI WAGA HUO

Suge Knight akiwa ndani nguo za magereza akiwa mahamani kwa kesi ya mauaji ya kumua rafiki yake na kesi nyingine ya kugonga na kuua mtu mwingine kwa gari na kukimbia. Na ikumbukwe pia ni huyu huyu ndiyo kuhusichwa na kifo cha 2Pac mwaka 96 walivyokuwa pamoja kwenye kampuni ya Death Row Records. Suge Knight anashikiliwa kunzia ijumaa kwenye magereza ya Central huko Los Angeles, baada ya yeye mwenyewe kujisalimisha  West Hollywood Sheriff's Station na amekana mashitaka yanayomkabili.Suge...

 

11 years ago

GPL

NISHA AKIMBIZWA MITAANI

Na Emelder Tarimo MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kuna wakati aliwahi kujikuta katika wakati mgumu baada ya umati wa watoto kumkimbiza mtaani huku wakimwimbia nyimbo baada kumuona kwa mara ya kwanza uchochoroni. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ Akizungumza na paparazi wetu, Nisha alisema tukio bichi lilitokea mwaka jana katika moja ya mitaa ya...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-ZANZIBAR ADONDOKA, AKIMBIZWA AMANA

Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis. MAKAMU Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis, leo amedondoka kutokana na matatizo ya moyo na kukimbizwa katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Baada ya kufikishwa hospitalini hapo, Mhe. Ambar alipimwa na kukutwa presha yake ipo juu ambapo alipelekwa katika chumba namba 7 kwa mapumziko. Baadaye alipelekwa katika kipimo cha moyo...

 

11 years ago

CloudsFM

MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI

Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.

Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

CloudsFM

MWALIMU ALIYEKUWA AKIISHI NA KINYESI NDANI KWA MIAKA MIWILI, AKIMBIZWA MUHIMBILI.

Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila, Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.

Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo, Kyando amesema baada ya kugundulika kwa tukio hilo walimpeleka Hospitali ya Temeke kwa kuangalia afya yake ambapo daktari akasema ana tatizo la akili, wakamuhamishia Muhimbili.
Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo...

 

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME

Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani