Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lipumba asikitishwa makubaliano Serikali, TCD kutupwa kapuni

lipumbaNA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema makubaliano baina ya vyama vya siasa na serikali ya kuboresha baadhi vifungu katika Katiba ya Mwaka 1977 ili vitumike katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu vimetupwa kapuni huku wananchi wakiwa gizani na hatima ya uandikishaji katika Daftari ya Kudumu la Wapigakura.
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba jana alipokuwa akifungua kikao cha siku mbili cha Baraza la Uongozi wa chama hicho kitakachojadili mambo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Makubaliano ya Rais Kikwete na TCD yamevunjika?

Leo Jumatano ni siku ya kihistoria, Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk Ali Mohamed Shein wanatarajiwa kupokea Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba lililomaliza kazi yake mjini Dodoma wiki iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa


Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwaDr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais. 
Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa. 
Chanzo: Radio five,...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yasaini makubaliano ya ujenzi wa Barabara Arusha.


uj1
Mkurugenzi wa barabara Wizara ya Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Ven Ndiyakumana kushoto akisaini mkataba wa awali kuhusu mkopo wa fedha wa riba nafuu utakaosaidia ujenzi wa Barabara ya Arusha hadi Holili kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya ushirikiano Afrika kutoka Japan (JICA) Bw. Hideyuki Manioka wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Jijini Dar es salaam. uj2Mkurugenzi wa barabara Wizara ya Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Ven Ndiyakumana kushoto akikabidhiana...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa daraja la Salenda

08

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda jana jijini Dar es salaam.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

 

 

11 years ago

Michuzi

Mantra yasaini makubaliano na Serikali kupiga vita ujangili wa ndovu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) na Chris Sattler, Afisa Mtendaji Mkuu wa Uranium One, (wa pili kushoto) wakisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) ambao inairuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya urani ya Mantra Tanzania kuwekeza dola za Kimarekani 800,000 katika mwaka 2014 itakayo tumika katika shughuli za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyanya nchini Tanzania. Aliyesimama ni Galina Molchanova, Makamu wa Rais wa kamapuni ya Mantra Tanzania. Hafla hiyo fupi...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEENDELEA KUTEKELEZA MAKUBALIANO YAKIMATAIFA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VVU.



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo, wakati wa kikao cha Kamati za Kudumu za Bunge za Masuala ya UKIMWI na Huduma za Maendeleo ya Jamii kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa makubaliano ya kimataifa ya afua za kinga dhidi ya maambukizi ya VVU.Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Masuala...

 

5 years ago

BBCSwahili

Makubaliano kati ya Kagame na Museveni: Serikali ya Uganda yawaachilia raia 13 wa Rwanda

Serikali ya Uganda imewaachia huru raia wengine 13 wa Rwanda waliokuwa wamezuiliwa katika mahabusu zake wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali.

 

10 years ago

Vijimambo

UKAWA WASAINI MAKUBALIANO MAPYA, NI KUACHIANA KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Viongozi wa vuguvugu la Katibaya Wananchi, (UKAWA), wakionyesha hati ya makubaliano baada ya kutia saini leo Jumanne Novemba 4, 2014 kwenye ofisi za makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam. Chini ya makubaliano hayo, yaliyohusisha vyama vinne, CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, yataanza kutekelezwa kwenye uchaguzi wa serikjali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ambapo, UKAWA utamsimamisha mgombea anayekubalika kwenye eneo husika bila ya kujali chama. Hata hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani