LISSU: MARUFUKU WANANCHI KUNYANYASWA KISA MICHANGO
![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKk37decUufd5ArGIUhxdNpyYXPBfILM-GszHvOAmQM6PtrVR7rwcBLY-3h1m*a4F0ueBR5h1NHqbuvldsUHk*hY/T.Lissu.jpg)
Singida Mashariki ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi yaliyopo Wilaya ya Singida Vijijini mkoani Singida, likiongozwa na Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Awali, jimbo hilo lilikuwa likijulikana kama Singida Kusini kabla ya kugawanywa mwaka 2010 na kupata majimbo mawili, Singida Mashariki na Singida Magharibi. Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa tiketi ya Chama cha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
WANAWAKE LIVE: Kisa cha Mustapha kunyanyaswa na mkewe, unafahamu alichokuwa anakitaka?
Mwendeshaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria.
Mustapha Manga katika mahojiano na Wanawake Live.
Je, umepata nafasi ya kufuatilia kisa hiki? Ni suala la kweli lililomkuta Mustapha ambaye analalamikia kunyanyaswa na mke wake. Joyce Kiria na Wanawake Live tulipata nafasi ya kufuatilia kwa undani suala hili na hapa, pata sehemu ya kwanza na ya pili ya mazungumzo kati ya Super Woman Joyce Kiria na Mustapha kisha na mke wake Mustapha kufahamu mustakabali mzima wa familia hii.
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Jinsi marufuku ya kutoka nje ya virusi vya corona inavyowaathiri wanawake kwa kunyanyaswa
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-W9O2NviWmrk/VW4XD0NI_ZI/AAAAAAAHbhQ/sJotW4VT25s/s72-c/1.jpg)
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU AUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MALALAMIKO YA WANANCHI KUNYANYASWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-W9O2NviWmrk/VW4XD0NI_ZI/AAAAAAAHbhQ/sJotW4VT25s/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cGTWte_2TIw/VW4XUBRgKGI/AAAAAAAHbhY/r4EVWlhSQho/s640/2.jpg)
11 years ago
Habarileo22 May
Kinana- Wananchi mpuuzeni Tundu Lissu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea vitendo vya baadhi ya wabunge kuwakataza wananchi kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kwani tabia hiyo inadhoofisha juhudi za Serikali kupambana na umasikini.
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Lissu: Katiba ya wananchi haiwezi kupitishwa kwa mitutu ya bunduki
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema Katiba ya Wananchi haiwezi kupitishwa chini ya ulinzi mkali wa vikosi vya ulinzi na usalama vyenye mitutu ya bunduki,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s72-c/Lissu%2BTundu.jpg)
WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU
![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s640/Lissu%2BTundu.jpg)
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Wananchi Ludewa wamzomea mgombea ubunge aokolewa kupigwa kisa uongo kumtukana Filikunjombe
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Wauguzi wa Ebola hawafai kunyanyaswa