Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wauguzi wa Ebola hawafai kunyanyaswa

Kuwatenga wauguzi wa wagonjwa wa Ebola ni kama kuwanyanyasa watu hao, asema balozi wa Marekani anayezuru Afrika Magharibi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:TZ yapeleka wauguzi S.Leone

Serikali ya Tanzania imepeleka wataalam wa afya nchini Sierra Leone na Liberia kwa ajili ya kuongeza nguvu vita dhidi ya Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Wauguzi waombwa wasigome Liberia

Maafisa wa afya Liberia,wanawaomba wauguzi na wasaidizi wao kusitisha mpango wao wa mgomo wa kitaifa huku mlipuko wa Ebola ukiendelea kukithiri nchini humo.

 

11 years ago

GPL

JK AUNGANA NA WAUGUZI KUSHEREHEKEA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI JIJINI ARUSHA JANA

Baadhi ya Wauguzi wakila kiapo cha uaminifu na kutunza siri za wagonjwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana
Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Arusha jana…
...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Asilimia 80 ya wabunge hawafai’

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema zaidi ya asilimia 80 ya wabunge waliopo bungeni sasa hawakustahili kuwa wabunge kwa sababu baadhi yao wana uwezo mdogo kiakili alioulinganisha na GB moja ya kompyuta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanamtandao hawafai kugombea urais

WENGI wetu bado tuna kumbukumbu za kundi la wanamtandao kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) lililokuwa chini ya uongozi wa Rostam Aziz na Edward Lowassa, lilivyofanikisha Rais Jakaya Kikwete...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda:Spika asema waliokeketwa hawafai

Spika wa Bunge la Uganda Bi Rebecca Kadaga amewashauri wanaume kutowaoa wanawake waliokeketwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Hiki ni kipindi cha wachezaji kunyanyaswa

Hiki ni kipindi cha usajili, utasikia mchezaji fulani anatakiwa na klabu fulani, mchezaji fulani anaachwa na klabu fulani, wachezaji fulani mikataba yao imekwisha yaani huwa ni kipindi cha wasiwasi mkubwa kwa baadhi ya wachezaji na pia ni kipindi kizuri kwa baadhi ya wachezaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja wadai kunyanyaswa

Kundi la kuteta haki za kibinadam nchini Tanzania la LGBT limedai sheria za Tanzania zawakandamiza wapenzi wa jinsia moja

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa ukoo wakerwa Graca kunyanyaswa

Baada ya mjane wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel kutakiwa kuondoka katika familia hiyo na kurudi kwao Msumbiji, viongozi wa ukoo wamewajia juu watoto wa Mandela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani