Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIVERPOOL MBIONI KUKAMILISHA USAJILI WA MSHAMBULIAJI MPYA


Klabu ya Liverpool imetangaza kufikia makubaliano na klabu ya Burnley juu ya usajili wa mshambuliaji wa England, Danny Ings.Kikosi cha Liverpool msimu uliopita kimejikuta kikishindwa kufikia malengo yake baada ya kumaliza nje ya nafasi za kufuzu michuano ya ligi ya mabingwa imekuwa ikihaha kuhakikisha inasajili wachezaji ambao wanaweza kuendana na malengo na ukubwa wa klabu hiyo, japo mchezaji Danny Ings amekuwa kwenye orodha ya kocha Brendan Rogers kwa muda mrefu.

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ROJO ATUA MAN UNITED KUKAMILISHA USAJILI

Marcos Rojo (mwenye T-shirt) akiwa na wafanyakazi wa Man Utd katika hospitali ya Bridgewater ametua kukamilisha usajili siku ya leo kuchukuliwa vipimo.…

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa the Kop in Tanzania watua anfield kukamilisha usajili wa chama bongo

 Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa katika ofisi kuu ya Bwawa la Maini kukamilisha usajili wa jumuiya hiyo ya wapenzai wa Liverpool nchini leo huko Anfield  Mwenyekiti wa The Kop in Tanzania Musleh akiwa Akiwa Anfield leo Issa Batenga na Musleh wakiwa na furaha baada ya kukamilisha usajili rasmi wa The Kop in Tanzania leo Mojawapo ya jezi ambazo kila mwanachama wa The Kop in Tanzania atapata. Hii ni mwendelezo wa harakati za kudumisha chama cha wapenzi wa Bwawa la Maini...

 

9 years ago

MillardAyo

Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal …

Baada ya dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kufungwa December 15, barani Ulaya ndio stori za usajili zinazidi kuchukua nafasi. December 31 stori kutoka mtandao wa 101greatgoals.com unaripoti klabu ya Arsenal ya Uingereza imekamilisha mipango ya usajili ya Mohamed Elneny. Dirisha dogo la usajili kwa nchi za Ulaya linafunguliwa January 1 klabu […]

The post Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal … appeared first on...

 

11 years ago

Mwananchi

Bagamoyo mpya mbioni

>Mradi wa Bandari ya Mbegani – Bagamoyo, mkoani Pwani ndiyo mradi mkubwa wa uwekezaji nchini utakaoifanya wilaya hiyo kuwa na mwonekano mpya.

 

9 years ago

Bongo5

Anthony Martial: Mshambuliaji mpya aliyesajiliwa na Manchester United kutoka Monaco

Klabu ya Manchester United ilifanikiwa kufanya usajili wa dakika za mwisho kabla ya dirisha la usajili kufungwa na kumnyakua mshambuliaji mpya. Mshambuliaji huyo ni Anthony Martial, mwenye miaka 21 na raia wa Ufaransa aliyekiwa katika klabu ya AS Monaco ya Ligue 1. Amesajiliwa kwa kiasi cha £36m. United walikuwa wakitafuta mshambuliaji wa kumsaidia Wayne Rooney […]

 

11 years ago

Mwananchi

Malecela: Siku 60 hazitoshi kukamilisha Katiba Mpya

>Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela amesema siku 60 zilizotengwa kukamilisha mchakato wa Katiba Mpya kabla ya kupelekwa kwa wananchi hazitoshi kwa kazi hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais wa Corinthians akanusha taarifa za Pato kuhamia Liverpool kwenye dirisha la usajili Januari

alexandrePato

Mchezaji wa Corinthians, Alexandre Pato.

roberto_andrade

Rais wa Corinthians, Robero de Andrade.

Na Rabbi Hume

Rais wa klabu ya Corinthians, Robero de Andrade amekanusha uvumi uliokuwa unatolewa na vyombo mbalimbali vya habari kuwa timu hiyo imefikia makubaliano ya awali na Liverpool kuhusu uhamisho wa mchezaji wao Pato.

Andrade amesema kuwa hakuna ofa yoyote ambayo timu hiyo tayari imepokea kutoka kwa Liverpool licha ya kuandikwa habari nyingi kuwa mchezaji wao Pato atahamia Liverpool katika dirisha dogo...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: ‘First Eleven’ mpya Simba!

>Matokeo yasiyoridhisha ya Simba katika Ligi Kuu msimu huu yameufanya uongozi wa klabu hiyo uchanganyikiwe na kutaka kusajili kila mchezaji wamwonaye wakati huu wa usajili wa dirisha dogo.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: ‘Maximo sajili ‘Domayo’ mpya’

>Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Yusuph ‘Tigana’ amemshauri kocha Marcio Maximo kumsajili kiungo mwenye uwezo wa Frank Domayo kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani