Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Loga: Nitarudia kipigo cha Mtani Jembe

Dar es Salaam. Kocha wa Simba, Zdavko Logarusic, amewatoa shaka mashabiki wa timu hiyo waliopoteza furaha kwa kuwaambia kuwa kipigo alichoipa Yanga katika pambano la Nani Mtani Jembe atakiendeleza kesho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtani Jembe: Mtikisiko

>Mahasimu wa kihistoria katika soka la Tanzania, Simba na Yanga leo zitashuka uwanjani katika pambano la hisani la ‘Nani Mtani Jembe’ litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

StarTV

Mtani Jembe, Yanga yapigwa 2-0.

SIMBA SC imeendeleza ubabe wake kwa mahasimu wao, Yanga SC katika mechi za Nani Mtani Jembe, baada ya jioni hii kuichapa mabao 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Desemba mwaka jana, Simba iliichapa Yanga SC mabao 3-1 katika mechi ya Mtani Jembe, inayoandaliwa na wadhamini wa timu hizo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Kilimanjaro.

Katika mchezo wa leo, hadi mapumziko, Simba SC ilikuwa tayari inaongoza kwa mabao hayo mawili, yaliyotiwa kimiani na kiungo Awadh Juma na mshambuliaji...

 

11 years ago

GPL

NANI MTANI JEMBE?......MNYAMAAAAAA!

Haruna Shamte akiwa amenyanyua juu Kombe la Mtani Jembe alilokabidhiwa na Mgeni Rasmi, Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe (mwenye suti nyeusi kulia) baada ya kuwashushia kichapo cha mabao 3-1 Watani Wao, Yanga SC katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar leo jioni.
Mshambuliaji wa Simba aliyepeleka kilio Jangwani kwa kuwatungua mabao mawili, Amissi Tambwe akishangilia… ...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA NANI MTANI JEMBE


Find more photos like this on Global…

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri ataka video ya Mtani Jembe

Kocha wa Simba, Patrick Phiri ameuagiza uongozi wa klabu hiyo kumpa video ya mechi ya Nani Mtani Jembe na nyingine mbili walizocheza na Yanga msimu uliopita ili kuangalia kiwango cha wachezaji wake wawili, beki Mkenya Donald Mosoti na kiungo Jonas Mkude, ambaye kwa sasa ni majeruhi.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE

Mashabiki wa Yanga wakishangilia. Haruna Shamte akiambaa na mpira. Uhuru Selemani…

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE

 Awadh Juma na Jonas Mkude wakishangilia moja ya magoli ya Simba. (Picha ya maktaba).Mabingwa wa Kombe la Nani Mtani Jembe, Simba SC ya Msimbazi jijini Dar es Salaam wameshawanyanyuka vitini kufuatia bao la kuongozwa lililotumbukizwa kimiani na Mchezaji wake Awadh Juma.
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.

Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...

 

10 years ago

GPL

Nani mtani jembe: tumuachie Mungu

Mchezaji wa Yanga, Kpah Sherman. Na Wilbert Molandi  
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amekiangalia kikosi chake kwa makini na ghafla akachukua maamuzi magumu ya kuwaanzisha wachezaji wapya wawili waliotua kwa ajili ya majaribio, kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe. Wachezaji hao waliotua Jumatano kwenye kambi yao waliyoweka huko Unguja, Zanzibar ni Simon Sserunkuma, 18, aliyetokea Express na Juuko Murushid...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani