Mtani Jembe: Mtikisiko
>Mahasimu wa kihistoria katika soka la Tanzania, Simba na Yanga leo zitashuka uwanjani katika pambano la hisani la ‘Nani Mtani Jembe’ litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL11 years ago
GPLNANI MTANI JEMBE?......MNYAMAAAAAA!
10 years ago
StarTV13 Dec
Mtani Jembe, Yanga yapigwa 2-0.
SIMBA SC imeendeleza ubabe wake kwa mahasimu wao, Yanga SC katika mechi za Nani Mtani Jembe, baada ya jioni hii kuichapa mabao 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Desemba mwaka jana, Simba iliichapa Yanga SC mabao 3-1 katika mechi ya Mtani Jembe, inayoandaliwa na wadhamini wa timu hizo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Kilimanjaro.
Katika mchezo wa leo, hadi mapumziko, Simba SC ilikuwa tayari inaongoza kwa mabao hayo mawili, yaliyotiwa kimiani na kiungo Awadh Juma na mshambuliaji...
10 years ago
GPL10 years ago
GPLNani mtani jembe: tumuachie Mungu
11 years ago
GPLTASWIRA ZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE
10 years ago
VijimamboSIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.
Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Phiri ataka video ya Mtani Jembe
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Loga: Nitarudia kipigo cha Mtani Jembe