Lowasa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembe yanga ambako Dr Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa...KAZI IPO!!
Zipo taarifa za uhakika kwamba Edward Lowasa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari Jumapili tarehe 26 Julai 2015 Jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, Lowasa anatarajiwa kueleza mambo mengi juu ya mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM uliopelekea jina lake kukatwa.Pia katika mkutano huo, Lowasa anatarajiwa kutangaza rasmi kujivua uanachama wake ndani ya CCM na kujiunga na CHADEMA ambapo baadaye jioni ataelekea viwanja vya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!

"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...
10 years ago
Vijimambo
Ripoti iliyomng’oa Dk. Slaa Chadema yavuja....Ipo Hapa

Kutupwa kwa ripoti hiyo kunatajwa kuwa ndiyo chachu iliyomfanya Dk. Slaa aachane na shughuli zote za kisiasa ndani ya Chadema. RIPOTI YOTE IMECHAPISHWA UK. 15-20 katika toleo hili la JAMHURI.Utafiti huo uliofanywa na taasisi ya Tanzania...
10 years ago
Africanjam.ComFULL VIDEO: DR. SLAA AKIELEZA KUHUSU LOWASA, CHADEMA NA UKAWA KWENYE PRESS CONFERENCE..
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
11 years ago
Michuzi
Kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la CHADEMA,Dkt. Slaa kusikilizwa Julai 31

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza mapingamizi ya awali ya pande zote mbili katika kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Katibu Mkuu, Willbrod Slaa, Julai 31, mwaka huu.
Mheshimiwa, Jaji John Utamwa alisema kesi ilipangwa jana kwa ajili ya kutajwa na kwamba itasikilizwa mapongamizi ya awali ya pande zote mbili...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Raia Mwema10 Sep
Dk. Slaa: Siko tayari kumsindikiza fisadi Ikulu
YAFUATAYO ni mahojiano kuhusu masuala mbalimbali kati ya Mwandishi Wetu, DEUS BUGAYWA na aliyekuw
Mwandishi Wetu
11 years ago
GPLDK SLAA ATEULIWA TENA KUWA KATIBU MKUU WA CHADEMA
10 years ago
Vijimambo
MBONA NI KAZI KIDOGO TU ILI MH LOWASSA ASIWE FISADI AU MWIZI,

11 years ago
GPL
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU