Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AANDAA MKAKATI MZITO!

Na Waandishi Wetu
MAPYA! Kuna madai kwamba, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema) akiungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa (pichani) na viongozi wa chama hicho, wapo kwenye mkakati mzito wa kuvuna wanachama wengi kwa ajili ya uchaguzi ujao, Uwazi limeambiwa. Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema). Kwa mujibu wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mkakati mzito Zanzibar 2015

mtanzania

mtanzania

NA MWANDISHI WETU, PEMBA

CHAMA cha Wananchi (CUF) kipo hatarini kupoteza nguvu yake visiwani Zanzibar, kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni mkakati hasi unaosukwa dhidi ya chama hicho kuelekea mwaka 2015, MTANZANIA linaripoti.

Mkakati huo wenye harufu ya kutaka kuua upinzani visiwani humo, unaratibiwa na kusimamiwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Unadaiwa kutaka kupunguza majimbo matatu ya uchaguzi kisiwani Pemba kutoka 18 ya sasa hadi 15 na kuongeza mengine nane kisiwani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkakati wa kumzima Lowassa CCM wavuja

MKAKATI wa kuzima ndoto za Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa asigombee urais mwaka 2015 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), umevuja, Tanzania Daima Jumatano limedokezwa. Kwa mujibu wa kielelezo cha waraka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Cameron aandaa serikali mpya

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron anatumia wikendi hii kukamilisha orodha yake ya mawaziri baada ya chama chake kushinda

 

10 years ago

GPL

MKE AANDAA FUMANIZI, LADUNDA USIKU

Dustan Shekidele, Morogoro
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Janeth, hivi karibuni alizua kizaazaa cha aina yake baada ya kumtegea mumewe fumanizi kufuatia madai kuwa anachepuka lakini likadunda.Tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki hii, saa 5 usiku katika Mtaa wa Bigwa, Kata ya Kilakala mkoani Morogoro. Janeth anayedaiwa kumtegea mumewe fumanizi. Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, siku ya tukio Janeth alitonywa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chesco Kilemile aandaa Tamasha la Upendo

MSANII wa nyimbo za Injili, Chesco Kilemile, ambaye ni mlemavu wa miguu, ameandaa Tamasha la Upendo linalotarajiwa kufanyika kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Tabata jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Kerr aandaa silaha zote kuiua Yanga

Kocha mkuu wa Simba, Dylan Kerr anacheza na nyakati na ni mjanja kweli kweli.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF AANDAA FUTARI KWA WADAU

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari kesho (Julai 17 mwaka huu) kwa wadau mbalimbali wa mpira wa miguu.
Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani