MKE AANDAA FUMANIZI, LADUNDA USIKU

Dustan Shekidele, Morogoro Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Janeth, hivi karibuni alizua kizaazaa cha aina yake baada ya kumtegea mumewe fumanizi kufuatia madai kuwa anachepuka lakini likadunda.Tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki hii, saa 5 usiku katika Mtaa wa Bigwa, Kata ya Kilakala mkoani Morogoro. Janeth anayedaiwa kumtegea mumewe fumanizi. Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, siku ya tukio Janeth alitonywa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MKE WA MTU ACHANJWA NYEMBE KISA FUMANIZI
11 years ago
GPL
LAIVU: STAA WA FILAMU ANASWA USIKU NA MKE WA MTU!
11 years ago
GPL
FUMANIZI ASUBUHI
11 years ago
GPL
FUMANIZI KRISMASI
11 years ago
GPL
FUMANIZI LA MWALIMU
11 years ago
GPL
FUMANIZI KOBOKO
11 years ago
GPL
AHAMA NYUMBA, KISA FUMANIZI
11 years ago
Habarileo01 Apr
Mtoto asababisha fumanizi hospitali
TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.
10 years ago
GPL
BODABODA ACHINJWA KWENYE FUMANIZI