Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkakati wa kumzima Lowassa CCM wavuja

MKAKATI wa kuzima ndoto za Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa asigombee urais mwaka 2015 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), umevuja, Tanzania Daima Jumatano limedokezwa. Kwa mujibu wa kielelezo cha waraka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM watumia Bunge kumzima Warioba

BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukwama kumdhibiti Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aondoe pendekezo la muundo wa Muungano wa Serikali Tatu kwenye Rasimu ya...

 

9 years ago

GPL

LOWASSA AANDAA MKAKATI MZITO!

Na Waandishi Wetu
MAPYA! Kuna madai kwamba, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema) akiungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa (pichani) na viongozi wa chama hicho, wapo kwenye mkakati mzito wa kuvuna wanachama wengi kwa ajili ya uchaguzi ujao, Uwazi limeambiwa. Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema). Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa afichua mkakati mchafu wa CCM

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kinadaiwa kutumia sh bilioni 536 kwa ajili ya kununua helkopta 12. Madai hayo yametolewa jana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa....

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai baada ya kujiunga na Chadema hivi karibuni. Kushoto ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga. Picha ya Maktaba
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...

 

10 years ago

Bongo5

Wimbo mpya wa Alikiba ‘Hela’ wavuja, usikilize hapa

Siku chache baada ya kuachia video yake ya wimbo wake ‘Mwana’, wimbo mpya wa Alikiba ‘Hela’ umevuja. Usikilize hapa.

 

9 years ago

Bongo5

Mkanda wa ngono wa DJ anayeheshimika zaidi Kenya, Crème De La Crème wavuja mtandaoni,

resizeDJ Crème De La Crème, DJ anayeshimika zaidi nchini Kenya amekutana na skendo kubwa kuwahi kutokea kwenye maisha yake baada ya mkanda wa ngono akiwa na mwanamke mwingine zaidi ya mke wake kusambaa mtandaoni. Pamoja na kuwa DJ anayeheshimika, Creme amekuwa mfano bora wa jinsi anavyoishi na mke wake pamoja na familia na hivyo mkanda […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa aitesa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeunda timu ya kuwachunguza makada wake wanaodaiwa kutangaza nia ya kuwania uongozi kabla ya wakati, na wanaomwaga fedha kwa wajumbe wa mkutano mkuu ili kuwashawishi wawaunge...

 

9 years ago

TheCitizen

CCM : Task Lowassa

The ruling party, CCM, has called on the National Electoral Commission (NEC) to act on the Ukawa coalition-backed Chadema presidential candidate, Mr Edward Lowassa, alleged religious comments.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani