Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA WANYATURU, MKOANI SINGIDA

Mmoja wa wazee wa Kimila wa Kabila la Wanyaturu, Mzee Semani Nyambia akimvisha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, vazi la kimila (mgololi) ikiwa ni ishara ya kusimikwa kuwa mlezi wa Wanyaturu, wakati wa Mkutano wake wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015.
PICHA NA OTHMAN MICHUZI, SINGIDA.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi mkoani Singida lamshikilia mtu anayedhaniwa kuwa jambazi sugu

sedoyeka

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

Jeshi la polisi mkoani Singida,limefanikiwa kukamata mkulima na mkazi wa Kibaoni Iddy Issah (33), anayedhaniwa kuwa ni  jambazi sugu baada ya kulipiga risasi moja mguu wake wa kulia, wakati alipojaribu kutoroka.

Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Simon Haule,alisema mtuhumiwa huyo amekamatwa Januari tatu mwaka huu saa 7.20 usiku katika baa ya Leaders iliyopo kata ya Kindai tarafa ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Familia Mkoani Singida yamtabiria mtoto wao kuwa Rais mwaka 2050!

DSCN5268

Mzee Nassoro Salum, akiwa mitaani jana na mtoto wake Yusuph ambaye amedai anamjengea mazingira mazuri kuja kuwa Rais wa Tanzania ifikapo mwaka 2050.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKATI Watanzania na dunia nzima leo imeshuhudia kuapishwa  kwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli, familia moja mkoani Singida, imeanzisha rasmi safari  ya kumwandaa mtoto wao wa kiume mwenye umri wa mwaka moja na miezi nane, kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050.

Mtoto huyo...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Kairuki asimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM Same

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Ndg. Sixtus Mapunda akimkabidhi Mhe. Angellah Kairuki (MB), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, nyenzo za vitendea kazi za kimila wakati wa kusimikwa kuwa Kamanda wa UV CCM wa Wilaya ya Same. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Ndg. Sixtus Mapunda akimweleza majukumu ya Kamanda wa Vijana Mhe. Angellah Kairuki kabla ya kusimikwa kuwa Kamanda wa UV CCM wa Wilaya ya Same. Mhe. Kairuki akila kiapo cha Kamanda Mpya wa UVCCM wa Wilaya ya Same wakati wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Angellah Kairuki asimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM Same

1

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM, Ndg. Sixtus Mapunda akimkabidhiMhe. Angellah Kairuki (MB), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, nyenzo za vitendea kazi za kimila wakati wakusimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM wa Wilaya ya Same.

2

Katibu Mkuu wa Umojawa Vijana (UVCCM), Ndg. Sixtus Mapunda akimweleza majukumu ya Kamanda wa Vijana Mhe. Angellah Kairuki kabla ya kusimikwa kuwa Kamanda wa UV CCM wa Wilaya ya Same.

3

Mhe. Kairuki akila kiapo cha Kamanda Mpya wa UVCCM wa Wilaya ya Same wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

TONNY NGOMBALE MWIRU ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA UVCCM

 Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi na Waziri  Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha akimsimika Tonny Ngombale Mwiru kuwa kama wa UVCCM kata ya Kijitonyama. Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana kata ya Kijitonyama Tonny Ngombale Mwiru akiwapungia mkono wanachama wa CCM mara baada ya kusimikwa kuwa kamanda wa UVCCM kata ya Kijitonyama. Mjumbe wa kamati kuu ya CCM ambaye pia ni waziri kiongozi wa zamani wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha,katibu wa UVCCM kata ya Kijitonyama Fatuma  ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Samwel Nakei, aapishwa kuwa kamanda wa UVCCM wilaya mpya ya Mkalama, Mkoani Singida aahidi kuleta neema kwa Vijana

apishwa

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhan Kapeto akimwapishwa Samwel Nakei kuwa kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mkalama jana.

naapa

Samweli Nakei akila kiapo cha kuwa Kamanda wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama.

Na Hillary Shoo, MKALAMA

VIJANA Wilayani Mkalama Mkoani Singida wametakiwa kujiunga kwenye vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ili waweze kukopesheka kirahisi badala ya mtu mmoja mmoja.

Changamoto hiyo imetolewa jana Wilayani hapa na Kamanda Mpya ya Umoja wa vijana wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama,...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AFANYA MKUTANO GEITA JIMBO LA BUSANDA, ASIMIKWA UCHIFU WA WASUKUMA

 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni leo GeitaWazee wamsimika Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa Uchifu wa Wasukuma leo




 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani