Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa, Magufuli rasmi, Mtikila aenguliwa NEC

Sasa ni rasmi; Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli watavaana katika mpambano wa kuwania kuingia Ikulu, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwapitisha kugombea urais pamoja na wengine sita, huku watatu wakitemwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Daily News

Mtikila threatens to sue Magufuli, Lowassa


IPPmedia
Mtikila threatens to sue Magufuli, Lowassa
Daily News
DEMOCRATIC Party (DP) National Chairman, Reverend Christopher Mtikila, has vowed to file a court injunction for both Chama Cha Mapinduzi (CCM) presidential aspirant Dr John Magufuli and the expected UKAWA candidate, Mr Edward Lowassa, for what ...
Presidential aspirant stuck in elevator, pours scorn on CCMIPPmedia

all 3

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aionya NEC, Magufuli atambia barabara

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesifu kazi ya ujenzi wa barabara katika miaka 10 iliyopita, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akiituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa imempotosha Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Daily News

Dr Magufuli, Lowassa return presidential forms to NEC


Dr Magufuli, Lowassa return presidential forms to NEC
Daily News
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Presidential candidate, Dr John Magufuli and his running mate, Ms Samia Suluhu Hassan, yesterday returned the presidential forms to the National Electoral Commission (NEC) office in Dar es Salaam after successfully ...

 

9 years ago

Vijimambo

Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais


Watanzania wenzangu!Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Tumeainisha kwenye malalamiko yetu, kutokuridhishwa kwetu na mwenendo na matukio mbalimbali, hususani, utangazaji wa matokeo batili, yasiyo akisi matokeo halisi yaliyopatikana kwenye vituo vya kupiga kura, kama ifuatavyo.

• Upunguzwaji wa kura zangu• Kuongeza kura kwa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais

Thursday, October 8, 2015 Siku chache baada ya chama cha ACT-Wazalendo kutoa tamko rasmi kuwa hawataweza kumruhusu Dk. Wilbroad Slaa kupanda kwenye jukwaa lao kumnadi mgombea urais wa chama hicho kwa sababu za kiusalama, jana mwanasiasa […]

The post Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

StarTV

Hizi hapa sababu za Mtikila kuenguliwa NEC.

Sasa ni rasmi; Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli watavaana katika mpambano wa kuwania kuingia Ikulu, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwapitisha kugombea urais pamoja na wengine sita, huku watatu wakitemwa.

Wakati Lowassa atagombea urais kwa tiketi ya Chadema, akiungwa mkono na vyama vinne vinavyounda Ukawa, Dk Magufuli anawania nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM, huku mwanasiasa maarufu nchini, Mchungaji Christopher Mtikila akikataliwa...

 

9 years ago

GPL

LOWASSA KUMZIKA MTIKILA!

Mwandishi Wetu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, anatarajia kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imefahamika. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila enzi za uhai wake. Duru za siasa kutoka ndani ya Ukawa, zimebainisha kwamba, licha ya kusambazwa kwenye mitandao kwa taarifa za...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani