Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa vs Magufuli:Yupi ni ‘shetani nafuu’ tumpe kura?

PAPA Francis – Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani aliwahi kusema hivi: “This is me, a sinner on

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kura tumpe mgombea, dalali, chama au ilani?

Wadau wa tafakuri, sote tunajua kwamba siku ya uchaguzi tunayo dhamira ya dhati ya kwenda kupiga kura ili kumpata Diwani, Mbunge na Rais wa awamu ya tano.

 

9 years ago

Vijimambo

MAKADIRIO YA AHADI 10 KUBWA ZILIZOTOLEWA NA MAGUFULI NA LOWASSA KWA WAPIGA KURA

Huku zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kufikiwa kwa siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 25, wagombea urais wanaochuana kwa karibu kutokana na wingi wa watu wanaojitokeza katika kampeni zao, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaendelea kutoa ahadi nzito kadhaa kwa wapiga kura.

Kadiri inavyoonekana, ahadi hizo zikitekelezwa kwa asilimia 100, zitafanya muujiza kwa kuibadili Tanzania kutoka katika hali duni ya upatikanaji wa...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa aahidi kuanzisha benki ya mikopo nafuu

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa amesema akiteuliwa kuwa rais ataanzisha benki ya maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wananchi wa kipato cha chini.

 

9 years ago

Raia Mwema

Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura

Hatimaye uchaguzi umemalizika!

Kitila Mkumbo

 

9 years ago

Vijimambo

Lowassa: Kwanini kura hazitaibiwa.

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi Oktoba 25 ili wampe ushindi wa kishindo kwani anaamini kwamba hakuna kura itakayoibwa.

Lowassa anayewakilisha pia muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vya NCCR-Mageuzi, NLD na Chama cha Wananchi (CUF), amesema ana imani kubwa kwamba katika uchaguzi mkuu mwaka huu, hakutakuwa na hila zozote za kuiba kura kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Nahitaji kura milioni 10 tu

LOWASSANA MAREGESI PAUL, IRINGA

MGOMBEA urais wa Ukawa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema anahitaji kura milioni 10.2  aweze kushinda uchaguzi mkuu.

Kutokana na hali hiyo amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kupiga kura Oktoba 25 mwaka huu na   watakapomaliza kumpiga kura, wawe tayari kuzilinda   zisiibwe na Chama Cha Mapinduzi.

Lowassa aliyasema hayo mjini hapa jana alipohutubia maelfu ya wakazi wa Mji wa Iringa katika Uwanja wa Gangilonga.

“Mwaka huu...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Msimpe kura Dk. Mwakyembe

OTH_6530FREDY AZZAH, KYELA

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amepata mapokezi makubwa jimboni kwa hasimu wake kisiasa, Dk. Harrison Mwakyembe.

Wakati akihutuhubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Takoshiri jimboni humo jana, Lowassa aliwataka wananchi wa jimboni hilo wamwadhibu Dk. Mwakyembe kwa kumchagua mgombea ubunge wa Chadema anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Abraham Mwanyamaki.

“Nawashukuru sana kwa mapenzi yenu, naomba mapenzi...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa ahimiza wafuasi wampigie kura

MGOMBEA wa urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Edward Lowassa, amesema haitoshi kwa watu kuendelea kufurika katika mikutano yake pasipo kutia nia ya kumpigia kura ili aweze kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani