Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Waliomuua Mawazo wanajulikana, wakamatwe

Mamia ya wakazi wa Mwanza na mikoa ya jirani jana walijitokeza kwa wingi kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo, huku aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa akisema waliomuua mwanasiasa huyo wanajulikana na endapo polisi hawatawakamata, Chadema watachukua hatua wenyewe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lowassa atembelea eneo alipouawa Mawazo

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa ametembelea eneo yalikotokea mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo huku wakazi wa Geita wakijitokeza kwa wingi kuaga mwili wa kiongozi huyo.

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO : Lowassa ni yuleyule na mambo ni yaleyale

Katika kushangaza, kuchekesha na kurogwa huku, tunaweza kweli kupiga hatua ya maendeleo? Tunaweza kuishi ulimwengu wa sayansi na teknolojia; ulimwengu ambao maisha si ya kubahatisha na kupiga ramli, bali ya uhakika?

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO: Lowassa ni mfamaji au mpambanaji asiyechoka?

Nimejitahidi nilivyoweza kutoandika chochote juu ya Edward Lowassa. Nilikuwa na sababu kadhaa ambazo siyo lazima kuziandika kwenye makala haya.

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli

Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2015, kuna watu wanachanganya mambo.Ushabiki unakuwa mkubwa na wakati mwingine watu wanaacha kabisa kufikiri. Ni vyema ufafanuzi ukafanyika, ili twende sawa.

 

11 years ago

Habarileo

RC- Waliosababisha hasara bil. 4/- wakamatwe

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ameishauri Serikali Kuu ishughulikie wataalamu waliosababisha hasara ya Sh bilioni nne, kwa kuelekeza uchimbaji wa visima nane vyenye maji yasiyofaa kwa matumizi ya binadamu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka wauza nyavu wakamatwe

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza (CCM), ameitaka serikali kueleza sababu za kuwakamata wavuvi wanaotumia nyavu za macho madogo badala ya kuwakamata wauzaji wa nyavu hizo. Alitaka kujua hayo bungeni...

 

9 years ago

Habarileo

RC aagiza waliokula fedha za Tasaf wakamatwe

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amemwagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Igunga, Abedi Maige kuwakamata baadhi ya watendaji wa vijiji waliohusika kula fedha za Mradi wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kunusuru kaya masikini Awamu ya Tatu.

 

9 years ago

Mtanzania

Mbunge: Waliouza viwanja mabondeni wakamatwe

MWITANA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Waitara (Chadema),  ameitaka Serikali kuanza kuwachukulia hatua wale wote waliowauzia viwanja wananchi wa mabondeni, kwani hao ndio chanzo cha ujenzi wa makazi katika mikondo ya maji.

Pia ameitaka Serikali kuwachukulia hatua watendaji wa Halmashauri ya Ilala kwa kuwabomolea wananchi wanaoishi katika Bonde la Mto Msimbazi bila kuwapa notisi ya kujiandaa kuhama.

“Halmashauri hiyo kuna mapele makubwa ambayo...

 

10 years ago

GPL

WALIOMUUA AISHA MADINDA WASAKWA!

Stori: Waandishi Wetu
Kimenuka! Baada ya kuwepo kwa utata mkubwa juu ya kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei mbaya Bongo, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’, inadaiwa kwamba waliohusika na kifo chake sasa wanasakwa kila kona. Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ enzi za uhai wake. Habari kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Dar, zilidai kwamba jeshi hilo ndilo lililozuia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani