Lugha imeniponza:Mourinho
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho, amejitetea kuwa ametafsiriwa vibaya kuwa alitoa lugha ya matusi kwa kuwa Kiingereza si lugha ya Mama kwake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili
makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali na hasa nyimbo, misemo, nahau na...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EOmNxQ392ZU/Uvsl_jvcicI/AAAAAAAFMfU/L1IgcYSb3K4/s72-c/unnamed+(85).jpg)
10 years ago
Mwananchi11 May
Kuchanganya Lugha
Swali la kujiuliza ni kwa nini Watanzania wengi hasa wasomi hawathamini Kiswahili kama inavyostahili? Swali hili ni vigumu kulijibu lakini kwa kusoma makala haya labda utapata jibu.
Nimewahi kuandika kuwa kuchanganya Kiswahili na Kiingereza katika kuandika habari makala au katika mzungumzo rasmi ni kukidhalilisha Kiswahili. Waandishi na wazungumzaji wengi hawako makini na hawajali kuzingatia ufasaha wa Kiswahili.
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Ukuzaji wa Lugha ya Kiswahili
Watumiaji muhimu wa lugha ya Kiswahili nimewagawa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni wale wanaozungumza kwa maana ya kujadili jambo kwenye kongamano, semina, warsha au kuhutubia katika mikutano ya hadhara. Kundi la pili ni la waandishi wa magazeti, makabrasha, vipeperushi na wale wanaotangaza katika vyombo vya habari kama redio na runinga. Katika makundi hayo mawaili wote wanatakiwa kutumia lugha sanifu na fasaha kwa lengo la kuwaelimisha au kuwahabarisha watu.
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni
Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni limefanyika Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2015 katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FxUg2sXgf_w/U6dppbxlHAI/AAAAAAAFsXc/KXxDwNJHCC4/s72-c/IMG_20140623_023858.jpg)
10 years ago
Mwananchi13 Jan
programu za kutasfriwa lugha
Dunia kuwa kijiji sio suala la ndoto tena. Sasa hivi tukio linaweza kutokea duniani na mtu mwingine anaweza kuliona tukio hilo moja kwa moja au kupitia runinga, simu, tabiti na vifaa vingine.
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Uchambuzi wa lugha ya Kiswahili
Ningependa kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini baadhi ya waandishi wa magazeti hawazingatii maelekezo na maoni  yanayotolewa mara kwa mara katika gazeti hili kuhusu uandishi bora. Inawezekana kuwa baadhi ya waandishi hawa hawasomi makala zinazolenga kuinua uwezo wao kitaaluma ama hawaelewi au hawapendi kujifunza.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1rEqqBcbhMs/VgorNjbgqeI/AAAAAAAH7rE/OBxPAMMg8tk/s72-c/IMG_8183.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania