Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


programu za kutasfriwa lugha

Dunia kuwa kijiji sio suala la ndoto tena. Sasa hivi tukio linaweza kutokea duniani na mtu mwingine anaweza kuliona tukio hilo moja kwa moja au kupitia runinga, simu, tabiti na vifaa vingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili

makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali  na hasa nyimbo, misemo, nahau na...

 

10 years ago

Mwananchi

Matumla na programu kali

Bingwa wa zamani wa dunia wa WBU, Rashid ‘Snake man’ Matumla amemuanzishia mtoto wake, Mohamed Matumla programu maalumu ya mazoezi huku akisema kuwa anamuandaa ili kuvunja rekodi yake kwenye ndondi.

 

10 years ago

Habarileo

Programu ya kuzuia ajali za kemikali

OFISI ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imezindua rasmi programu ya kuzuia na kupambana na ajali zitokanazo na kemikali, ambayo inatarajiwa kupunguza tatizo hilo hasa kutokana na ajali hizo kuongezeka. Mpango huo ambao umezinduliwa jijini Dar es Salaam unalenga kuangalia jinsi, ajali hizo zitakavyodhibitiwa kwa kuwa katika baadhi ya ajali za kemikali zilizotokea zimesababisha madhara makubwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Programu ya mashoga yafadhiliwa Uchina

Programu ya kuwaunganisha mashoga nchini Uchina imejipatia ufadhili wa dola millioni 30 kutoka kwa wawekezaji wa kampuni ya DCM.

 

11 years ago

Michuzi

reminder ya programu ya kupunguza unene

Unajua kwamba unene wa kupindukia (overweight) unakuweka katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa mengi yakiwemo ya moyo,kisukari  presha n.k. ?  Kukabiliana na tatizo la unene ni chaguo lako na sisi tutakusaidia kutimiza lengo lako kupungua kilo unazotaka kwa kutumia programu yetu (Natural and healthy program) . Inakufikia popote ulipo. CLEAN 9. Ni muhimu katika kupunguza mwili kwasababu inafanya kazi ya kusafisha mwili,kuondoa sumu mwilini,kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Apple yazindua programu ya muziki

Kampuni ya Apple imebuni programu tumizi mpya inayojumuisha maktaba ya kupeperusha muziki moja kwa moja kwenye internet.

 

10 years ago

Michuzi

Diamond Platinumz aibukia programu ya Mziiki

Nyota wa muziki wa bongo flava nchini Diamond Platinumz amewataka wasanii wa Tanzania kusambaza nyimbo zao kwa njia ya teknolojia kama vile Mziiki iliyozinduliwa hivi karibuni ili ziweze kuwafikia watu wengi na kwa wakati huohuo wanamuziki pia kunufaika na jasho lao.
Diamond anasema kuwa  ameamua kazi zake kuziingiza sokoni tofauti na kazi zake za nyuma ambapo baada ya  kushauriana na wadau anaoshirikiana nao kikazi ameamua aingie sokoni kwa njia ya kidigitali kupitia programu ya Mziiki...

 

10 years ago

Vijimambo

Diamond Platinumz aibukia programu ya Mziiki

Nyota wa muziki wa bongo flava nchini Diamond Platinumz amewataka wasanii wa Tanzania kusambaza nyimbo zao kwa njia ya teknolojia kama vile Mziiki iliyozinduliwa hivi karibuni ili ziweze kuwafikia watu wengi na kwa wakati huohuo wanamuziki pia kunufaika na jasho lao.
Diamond anasema kuwa  ameamua kazi zake kuziingiza sokoni tofauti na kazi zake za nyuma ambapo baada ya  kushauriana na wadau anaoshirikiana nao kikazi ameamua aingie sokoni kwa njia ya kidigitali kupitia programu ya Mziiki...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete azindua programu uimarishaji mipaka

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa kwa lengo la kuhuisha alama zilizopo na kuweka mpya katika maeneo ya mipaka ya Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani