Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


lugha yetu ya Kiswahili inajitosheleza, itumike vizuri

Baada ya kutafakari juu ya matumizi yasiyo sahihi ya lugha yetu ya Kiswahili, hivi karibuni nilishawishika kuandika ili kutoa mchango wangu kuhimiza matumizi ya lugha yetu kila mahali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Umiseta, Umitashumta itumike vizuri

>Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta) yamemalizika juzi kwenye viwanja vya Shirika la Elimu, Kibaha.

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER

Image result for atc metro DMVJUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE  MINGINE .

KIINGILIO  BUREEEEE        











 

9 years ago

Mwananchi

Fursa ya kukuza soka itumike vizuri Kombe la FA

Uamuzi uliofikiwa juzi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kurejesha mashindano ya kombe la chama hicho, maarufu FA Cup unafaa kupongezwa na wanamichezo na wadau  wote wa soka nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili

makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali  na hasa nyimbo, misemo, nahau na...

 

9 years ago

Mwananchi

Uchambuzi wa lugha ya Kiswahili

Ningependa kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini baadhi ya waandishi wa magazeti hawazingatii maelekezo na maoni  yanayotolewa mara kwa mara katika gazeti hili kuhusu uandishi bora. Inawezekana kuwa baadhi ya waandishi hawa hawasomi makala zinazolenga kuinua uwezo wao kitaaluma ama hawaelewi au hawapendi kujifunza.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukuzaji wa Lugha ya Kiswahili

Watumiaji muhimu wa lugha ya Kiswahili nimewagawa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni wale wanaozungumza kwa maana ya kujadili jambo kwenye kongamano, semina, warsha au kuhutubia katika mikutano ya hadhara. Kundi la pili ni la waandishi wa magazeti, makabrasha, vipeperushi na wale wanaotangaza katika vyombo vya habari kama redio na runinga. Katika makundi hayo mawaili wote wanatakiwa kutumia lugha sanifu na fasaha kwa lengo la kuwaelimisha au kuwahabarisha watu.

 

9 years ago

Mwananchi

Lugha sanifu ya Kiswahili.

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengin

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti wa Lugha ya Kiswahili

Katika mojawapo ya makala zangu, nimewahi       kueleza kuwa mojawapo ya njia za kukiimarisha Kiswahili ili kiwe kweli ni tunu ya taifa ni lazima serikali itoa fedha za kutosha za kufanya utafiti lengo likiwa ni kuimarisha msamiati na istilahi za Kiswahili na hatimaye kuchapisha kamusi za istilahi za taaluma mbalimbali. Tunaweza kufanya hivyo kwa kutumia hazina iliyopo katika lugha zetu za asili zikiwamo lugha za Kibantu na pia zile ambazo siyo za Kibantu. Eneo jingine la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani