Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lugola: Serikali ya CCM inaendeshwa kisanii

Mbunge machachari wa Mwibara, Alphaxard Kangi Lugola, amedai kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo yeye ni mbunge wake, inaendeshwa kisanii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali tatu haziepukiki — Lugola

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Kangi Lugola, amesema mfumo wa serikali tatu hauepukiki kwa kuwa Serikali ya Zanzibar tayari imekwisha kuvunja Katiba. Mjumbe huyo akizungumza na gazeti hili mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Lugola: Kukubali serikali tatu ni kukwepa unafiki

>Mjumbe wa Bunge la Katiba Kangi Lugola, ametaja msimamo wake wa kuunga mkono serikali tatu kwamba ni kukwepa unafiki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola ataka serikali ianzishe wizara maalumu ya walimu

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), ameitaka serikali kuanzisha wizara maalumu kwa ajili ya kushughulikia masuala ya walimu. Akiuliza swali bungeni jana kwa niaba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Esther...

 

10 years ago

Vijimambo

Lugola kushawishi wananchi wasiichague CCM 2015

Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola.
Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema atawashawishi wananchi wasikichague Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba mwaka huu ikiwa serikali haitatekeleza miradi ya kupekeleka maji katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara na hasa jimboni kwake.

Lugola aliyasema hayo jana, wakati akichangia mjadala kuhusu taarifa ya utekelezaji ya Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na ile ya Kilimo, Mifugo na Maji baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tume ya Uchaguzi inaendeshwa kwa ‘rimoti’?

Mkutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na vyama vya siasa uliofanyika katikati ya wiki umethibitisha hofu yetu tuliyoielezea awali kwamba tume hiyo isipojitambua na kuacha ubabaishaji na kauli zinazokinzana, itavuruga mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kusababisha vurugu.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti za wizara zinaandaliwa kisanii

Tuliwahi kusema kupitia katika safu hii kwamba vituko vingi vinavyotokea hapa nchini ni vigumu kutokea katika nchi nyingine. Tulikuwa na maana kwamba nchi yetu ina matukio mengi ya ajabu na ya aina yake.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Vita dhidi ya dawa za kulevya ni ya ‘kisanii’

>Tanzania jana iliungana na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku ya kupiga vita matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwigizaji Jack Wolper Ashutumiwa Kumsahau Aliyemtoa Kisanii Katika Tasnia ya Filamu Bongo

Ubuyu Mpya Kutoka Instagram kwenye page ya mrekebishatabia kuhusu Mrembo Mwigizaji Wolper Kumsahau aliyemwingiza katika Tasnia ya Filamu:

'HISTORIA: Je unajua aliyemtoa kisanii Jackline Wolper mpaka kupata umaarufu nchini ni nani? Ni mdada mkali wa wa siku nyingi kwenye masuala ya sana Lucy Komba ambaye hivi sasa anaishi na familia yake nchini Denmark.

Alikutana nae kwenye ofisi moja bongo akamuomba namba ya simu walipoachana baada ya kama dk 10 akamuandikia msg anaomba amsaidie kwenye sanaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola amfyatua JK

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amemshambulia Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Rais Jakaya Kikwete, kuwa chama kitafia mikononi mwake. Lugola, alisema kitendo cha Rais Kikwete kukataa kuwaondoa madarakani mawaziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani