Lukuvi ashusha kodi ya ardhi
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema wizara yake imehuisha viwango vya kodi, ada na tozo mbalimbali za ardhi kwa lengo la kupata viwango vinavyopangika.
Lukuvi alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana, wakati akiwasilisha makadirio na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2015/16.
Alisema kodi ya pango la ardhi imepungua kwa wastani wa asilimia 30 na viwango vingine vinavyomgusa mwananchi wa kawaida vimepungua kwa asilimia 50 au...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-z8lUs7Lw9_E/XvPaopShJ1I/AAAAAAAAdgQ/aIErgmcGC0wLj1UlB2_wvyFyGQ7LwqlqACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200624_122816.jpg)
LUKUVI AWATAKA WATENDAJI IDARA ZA ARDHI KUPIMIA WANANCHI ARDHI
![IMG_20200624_122816 IMG_20200624_122816](https://1.bp.blogspot.com/-z8lUs7Lw9_E/XvPaopShJ1I/AAAAAAAAdgQ/aIErgmcGC0wLj1UlB2_wvyFyGQ7LwqlqACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200624_122816.jpg)
Na Ahmed Mahmoud Arusha
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi amewataka maafisa ardhi kuwapa hati Mara moja watu wote waliopimiwa viwanja ili idadi iliyo kwenye michoro iwe na hati kwa...
5 years ago
MichuziWAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WASIOTAKA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WALIOTELEKEZA HATI ZAO ZA ARDHI AMBAZO ZIPO TAYARI
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Ardhi nchini kuhakikisha wanawafuatilia wamiliki wa ardhi ambao hati zao zimekamilika lakini...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-xKNkCdhR-Dg/VQBdLKJ9JnI/AAAAAAAAB7c/gDCnhnICgYc/s72-c/William%2BLukuvi.jpg)
Lukuvi awapa darasa maofisa ardhi
NA DOTTO MADUHU, MWANZA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, amewaagiza maofisa ardhi na wazee wa mabaraza ya ardhi, kuhakikisha wanatenda haki ya kutoa hukumu kwa wakati kuhusu mashauri ya ardhi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-xKNkCdhR-Dg/VQBdLKJ9JnI/AAAAAAAAB7c/gDCnhnICgYc/s1600/William%2BLukuvi.jpg)
Lukuvi alisema hayo jana katika ziara yake ya siku mbili mkoani hapa, na kuongeza kuwa lengo la ziara hiyo ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Aliwaasa maofisa ardhi kuhudumia wananchi kwa haki na uzalendo bila kujali uwezo wao wa...
10 years ago
Habarileo28 Mar
Lukuvi aijia juu idara ya ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewajia juu maofisa ardhi nchini kuwa idara yao imekuwa kichaka na uchochoro wa kuwafanyia unyanyasaji na uonevu mkubwa wananchi kwa kuwapoka haki zao za kumiliki viwanja vya makazi na mashamba kihalali na kueleza kuwa sasa watakiona.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Lukuvi amsimamisha kazi ofisa ardhi
10 years ago
Habarileo20 Mar
Lukuvi asifiwa kushughulikia migororo ya ardhi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameeleza kuridhishwa na kasi aliyoanza nayo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika kushughulikia migogoro ya ardhi nchini.
10 years ago
Habarileo14 Jun
Lukuvi amaliza mgogoro wa ardhi Chasimba, mwekezaji
HATIMAYE Serikali imekata mzizi wa fitina kwa kumaliza mgogoro wa ardhi wa muda mrefu uliokuwepo baina ya wakazi wa Chasimba na mwekezaji wa kiwanda cha saruji cha Wazo Hill, kwa kuirudisha ardhi hiyo kwa wananchi.