Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulindi kuchagua mbunge wao leo

Wananchi wa jimbo la Lulindi mkoani Lindi leo watapiga kura kuchagua mbunge baada ya uchaguzi wa jimbo hilo uliopaswa kufanyika Oktoba 25, kuahirishwa kutokana na kasoro mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Arusha, Handeni kuchagua wabunge wao leo

Wapigakura 321,575 wanatarajiwa kujitokeza kuchagua mbunge wa Arusha Mjini leo, katika uchaguzi unaoshirikisha wagombea wa vyama vinne vya siasa.

 

11 years ago

GPL

WANANCHI JIMBO LA CHALINZE KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO

BAADA ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo aliyefariki dunia Januari 22 mwaka huu kutokana na maradhi. Katika kipindi chote cha kampeni, vyama vitano vilichuana kumwaga sera na usiku na mchana katika Kata 15 za jimbo hilo, kila kimoja kikiamini ndicho kitaibuka mshindi na hatimaye...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE, MAMA SALMA WAUNGANA NA WANACHALINZE KUPIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga leo.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa kupiga kura za kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze leo.… ...

 

11 years ago

Michuzi

zoezi la upigaji kura kuchagua mbunge wa jimbo la kalenga laendelea kwa utulivu

Wananchi  wa Nyamihuu wakiwa wamepakizana katika  boda boda  kwenda  kupiga kura Wananchi  wa Kidamali  wakiwa katika foleni ya kwenda  kupiga  kura mmoja kati ya  wazee  eneo la Nzihi akitoka  kupiga kura  kumchagua mgombea anayemtaka Wananchi  wa Nzihi  wakiwa katika  foleni wakisubiri kupiga  kura

 

11 years ago

Habarileo

Malawi kuchagua Rais, wabunge leo

WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.

 

10 years ago

Habarileo

Segerea wamjia juu mbunge wao

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro MahangaSAKATA la kuzomewa kwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga wakati wa zoezi la kuapishwa kwa viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Ilala, limechukua sura mpya baada ya wakazi wa Segerea, kuchefuliwa na kauli ya Naibu Waziri huyo aliyedai kuwa waliomzomea ni wahuni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Washangaa mbunge wao kuitwa ‘mzigo’

WANANCHI wilayani Ulanga, Morogoro, wamekuja juu kutokana na mbunge wao, Celina Kombani, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, kuhusishwa kuwa ni mmoja...

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Mdogo kuchagua rais Nchini Zambia wafanyika leo

Msururu wa wapiga kura katika kitongoji cha Kanyama nje ya jiji la Lusaka leo asubuhi                                           

 Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo tangu ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London Uingereza alikokwenda kwenye matibabu. Rais Sata aliingia madarakani Septemba 2011.
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi...

 

10 years ago

Habarileo

Tuhuma za wanaume Rombo zamfadhaisha mbunge wao

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini.MADAI ya wanawake wa wilaya ya Rombo, Kilimanjaro, kukodi wanaume kutoka nchini Kenya, baada ya kukosa huduma za ndoa kutoka kwa waume zao kwa muda mrefu, kutokana na ulevi wa gongo uliopindukia, zimemfadhaisha Mbunge wao, Joseph Selasini (Chadema).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani