Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUNGI WASANII WANAOKIMBILIA SIASA NI WAPUUZI!

Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Lungi Maulanga ameweka wazi kuwa wasanii wote kutoka Bongo Movie waliokurupuka na kujiingiza kwenye siasa ni wapuuzi kwani hawana sifa za kuingia kwenye siasa kutokana na vitendo vyao vingi kutokubaliwa na jamii inayowazunguka.  ....Soma zaidi==>http://bit.ly/1J1gNWl

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASANII WALIOJITOSA KWENYE SIASA

Joseph Haule ‘Prof. Jay’. BRIGHTON MASALU
HAMASA na mchecheto wa wasanii kujiingiza kwenye siasa, unazidi kukua kwa kasi huku baadhi yao wakionesha dhamira ya kweli kutaka kuwania nafasi mbalimbali hususan ubunge. Katika makala haya yanawaanika baadhi ya waliotangaza nia ya kuwania majimbo kupitia vyama mbalimbali. Msanii wa filamu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ STEVE NYERERE (KINONDONI)
...

 

5 years ago

Bongo5

Mabeste awachana wasanii wenzake wanaodandia siasa

Mabeste ametoa ushauri kwa wasanii wenzake ambao wanajiingiza kwenye siasa na kusahau majukumu yao kwenye muziki.

Akizungumza na kipindi cha Mega Mix cha Abood FM, muimbaji huyo amesema, “Tufanye muziki,tusiconcetrate na siasa. Politics sasa hivi imeshika kuliko kitu kingine chochote na mpaka inasababisha baadhi ya artists kuachia track na zinakuwa zinafeli kwa sababu tu raia wamefocus sana kwenye politics kuliko burudani.”

“Unakuta sisi wasanii wengine tunaona ilituweze kutake attention na...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasanii kujihusisha na siasa, ni faida ama hasara?

Muziki hauna dini, umri, jinsi, kabila wala itikadi vivyo hivyo katika sanaa ya uigizaji. Bado wengi wanajiuliza maana halisi ya muziki, lakini Kamusi Sanifu ya Kiswahili imeeleza kuwa ni muziki ni mpangilio wa ala na uimbaji unaoleta athari fulani kwa kiumbe.

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ashangazwa na wanaokimbilia urais

Lazaro NyalanduWAKATI joto la Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kwa mwaka kesho likizidi kupanda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewashangaa wanaojitokeza kutangaza nia ya kuwania Urais, akisema nafasi hiyo ni nyeti ambayo wengi wanapaswa kuogopa kutangaza kuitaka.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wakati Baadhi Ya Wasanii wa Bongo Movies Wamejikita Kwenye Siasa, Gabo Ana Haya

Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa  licha la wimbi la wasanii wake  kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo amabo wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.

Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi  kwamba fani ya filamu haitaweza  tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni  na chuki baina yao.

Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo  maana ana chofikieria...

 

11 years ago

GPL

LUNGI NA MAHABA NIUE

MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12 mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani