Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WALIOJITOSA KWENYE SIASA

Joseph Haule ‘Prof. Jay’. BRIGHTON MASALU
HAMASA na mchecheto wa wasanii kujiingiza kwenye siasa, unazidi kukua kwa kasi huku baadhi yao wakionesha dhamira ya kweli kutaka kuwania nafasi mbalimbali hususan ubunge. Katika makala haya yanawaanika baadhi ya waliotangaza nia ya kuwania majimbo kupitia vyama mbalimbali. Msanii wa filamu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ STEVE NYERERE (KINONDONI)
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wakati Baadhi Ya Wasanii wa Bongo Movies Wamejikita Kwenye Siasa, Gabo Ana Haya

Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa  licha la wimbi la wasanii wake  kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo amabo wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.

Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi  kwamba fani ya filamu haitaweza  tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni  na chuki baina yao.

Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo  maana ana chofikieria...

 

10 years ago

GPL

LUNGI WASANII WANAOKIMBILIA SIASA NI WAPUUZI!

Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Lungi Maulanga ameweka wazi kuwa wasanii wote kutoka Bongo Movie waliokurupuka na kujiingiza kwenye siasa ni wapuuzi kwani hawana sifa za kuingia kwenye siasa kutokana na vitendo vyao vingi kutokubaliwa na jamii inayowazunguka.  ....Soma zaidi==>http://bit.ly/1J1gNWl

 

5 years ago

Bongo5

Mabeste awachana wasanii wenzake wanaodandia siasa

Mabeste ametoa ushauri kwa wasanii wenzake ambao wanajiingiza kwenye siasa na kusahau majukumu yao kwenye muziki.

Akizungumza na kipindi cha Mega Mix cha Abood FM, muimbaji huyo amesema, “Tufanye muziki,tusiconcetrate na siasa. Politics sasa hivi imeshika kuliko kitu kingine chochote na mpaka inasababisha baadhi ya artists kuachia track na zinakuwa zinafeli kwa sababu tu raia wamefocus sana kwenye politics kuliko burudani.”

“Unakuta sisi wasanii wengine tunaona ilituweze kutake attention na...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasanii kujihusisha na siasa, ni faida ama hasara?

Muziki hauna dini, umri, jinsi, kabila wala itikadi vivyo hivyo katika sanaa ya uigizaji. Bado wengi wanajiuliza maana halisi ya muziki, lakini Kamusi Sanifu ya Kiswahili imeeleza kuwa ni muziki ni mpangilio wa ala na uimbaji unaoleta athari fulani kwa kiumbe.

 

11 years ago

CloudsFM

WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wanasiasa waliojitosa kupambana na corona kwa njia ya nyimbo

Tangu mlipuko wa coronavirus ulipoanza juhudi mbali mbali za kuzuwia kusambaa kwa virusi hivyo zimekua zikifanyika, lakini baadhi ya wanasiasa hawa wamejitosa kutumia usanii kuwaelemisha raia juu ya kuepuka virusi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanamuziki wanaojiingiza kwenye siasa

Mwanamuziki wa miondoko ya Hip Hop nchini Tanzania Joseph Mbilinyi kwa sasa anatafuta kuwania kwa awamu ya pili katika uchaguzi. Anasimulia kuhusu sanaa na siasa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi wajiingiza kwenye siasa

JESHI la Polisi nchini limeamua kujiingiza katika mapambano ya kisiasa kwa kuwataka wananchi wasimsikilize Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyetaka yawepo maandamano yasiyo na kikomo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani