Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanamuziki wanaojiingiza kwenye siasa

Mwanamuziki wa miondoko ya Hip Hop nchini Tanzania Joseph Mbilinyi kwa sasa anatafuta kuwania kwa awamu ya pili katika uchaguzi. Anasimulia kuhusu sanaa na siasa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wanamuziki wa Kiafrika waombwa kushiriki kwenye Mkutano wa ACCES

Mkutano wa Music In Africa wenye lengo la kudumisha ushirikiano, kubadilishana uzoefu na kutumbuiza yaani (ACCES) unawaalika wanamuziki wa Kiafrika kutuma maombi yao kwaajili ya kushiriki kwenye mkutano huo wa ACCES 2020, utakaofanyika jijini Dar es salaam, kuanzia tarehe 26 hadi 28 Novemba mwaka huu. 
Mkurugenzi wa Music In Africa, Eddie Hatitye, anasema nafasi za upendeleo zitatolewa zaidi kwa bendi na wanamuziki wa Kitanzania kama washiriki wenyeji ili kuonesha ubora wa muziki wa...

 

10 years ago

GPL

WASANII WALIOJITOSA KWENYE SIASA

Joseph Haule ‘Prof. Jay’. BRIGHTON MASALU
HAMASA na mchecheto wa wasanii kujiingiza kwenye siasa, unazidi kukua kwa kasi huku baadhi yao wakionesha dhamira ya kweli kutaka kuwania nafasi mbalimbali hususan ubunge. Katika makala haya yanawaanika baadhi ya waliotangaza nia ya kuwania majimbo kupitia vyama mbalimbali. Msanii wa filamu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ STEVE NYERERE (KINONDONI)
...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi wajiingiza kwenye siasa

JESHI la Polisi nchini limeamua kujiingiza katika mapambano ya kisiasa kwa kuwataka wananchi wasimsikilize Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyetaka yawepo maandamano yasiyo na kikomo...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AFUNGUKIA KUINGIA KWENYE SIASA

Imelda Mtema Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefungukia kuingia kwenye siasa kuwa ni bora abaki kwenye upenzi na chama fulani kwani hawezi kugombea. Akizungumza na Amani juzikati, Kajala alisema kuwa, japokuwa wasanii wengi wakiwemo wa tasnia ya filamu Bongo, wamekuwa wakichukua fomu za kutaka kugombea nafasi mbalimbali za udiwani na ubunge lakini kwake hafikirii kitu kama hicho. ...Soma...

 

9 years ago

GPL

CHUCHU HANS UNALETA UTANI KWENYE SIASA EE!

VUGUVUGU la kisiasa limekuwa kubwa katika jamii yetu kiasi kwamba kila mmoja anazungumza kuhusu siasa, hasa upinzani mkubwa uliopo hivi sasa kati ya vyama vinavyounda Ukawa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kila mmoja anaonesha jinsi gani siasa inavyomhusu na anavutia upande wake kwa nguvu zake zote. Bahati mbaya hata hivyo, wapo baadhi ya wenzetu ambao wameamua kuwapa wenzao uadui, kwa sababu tu wana mtazamo tofauti na wao. Hili ni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kadinda: Wema Anachangamoto Hii Kwenye Siasa

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi.

Martin ameiambia Bongo5 kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.

“Watu wengi wametokea kumsupport kwa sababu walikuwa wanamsikia baba yake akimtaka aingie kwenye siasa, na wengine walikuwa wanamtaka Wema aingie...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHRISTOWAJA MTINDA: Mhadhiri aliyetimkia kwenye siasa

LEO katika safu yetu ya Mwana mama tunawaletea Christowaja Mtinda, msomi ambaye ameamua kuingia kwenye siasa. Kuna kelele nyingi kwamba wasomi wanatelekeza taaluma zao na kutimkia kwenye siasa; na mara...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna siasa kwenye mabadiliko ya nauli - Sumatra

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Gilliad Ngewe amesema suala la mabadiliko ya nauli nchini siyo la uamuzi wa kisiasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tshala Muana: Mnenguaji, mwanamuziki aliyeibukia kwenye siasa

Unapotaja wanawake waliotikisa kwenye miondoko ya Soukous barani Afrika lazima Tshala Muana atakuwa kwenye orodha hiyo, lakini akibamba zaidi na mtindo wake wa Mutuash.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani