Wanamuziki wa Kiafrika waombwa kushiriki kwenye Mkutano wa ACCES

Mkutano wa Music In Africa wenye lengo la kudumisha ushirikiano, kubadilishana uzoefu na kutumbuiza yaani (ACCES) unawaalika wanamuziki wa Kiafrika kutuma maombi yao kwaajili ya kushiriki kwenye mkutano huo wa ACCES 2020, utakaofanyika jijini Dar es salaam, kuanzia tarehe 26 hadi 28 Novemba mwaka huu.
Mkurugenzi wa Music In Africa, Eddie Hatitye, anasema nafasi za upendeleo zitatolewa zaidi kwa bendi na wanamuziki wa Kitanzania kama washiriki wenyeji ili kuonesha ubora wa muziki wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Wanamuziki wanaojiingiza kwenye siasa
9 years ago
StarTV22 Dec
Wadau waombwa kuwekeza kwenye mapambano dhidi ya  maambukizi ya vvu
Kamati za kudhibiti maambukizi vya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI katika wilaya ya Pangani mkoani Tanga zimesema upo umuhimu kwa wadau mbalimbali kuendelea kuwekeza kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Kamati hizo zimesema licha ya baadhi ya jamii kuwa na uelewa dhidi ya ugonjwa huo jitihada zaidi zinahitajika ili elimu hiyo imfikie kila mtu na hatimaye kujikinga na ugonjwa huo.
Wanakamati hao wametoa kauli hiyo katika tamasha la kuzizawadia kamati bora za ukimwi, jinsia, uongozi na...
11 years ago
Habarileo03 Jun
Pinda kushiriki mkutano Dart
MKUTANO wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) unafanyika leo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Wahimizwa kushiriki mkutano mitaji ya ubia
WADAU wa sekta binafsi na maendeleo nchini wametakiwa kuhudhuria mkutano unaohusu mpango wa mitaji ya ubia (Venture Capital and Private Equity Investment Financing Industry in Tanzania) unaotarajiwa kufanyika Alhamisi jijini...
10 years ago
Dewji Blog03 Oct
MO atua Singida kushiriki mkutano wa kampeni za Urais
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mohammed Dewji akisalimiana na mmoja wa madiwani waliofika kumpokea mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Singida mjini pamoja na wasaidizi wake.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mohammed Dewji akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba ambaye pia ni mmoja wa wanakamati wa timu ya ushindi ya kampeni za Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM, Dk.John...
11 years ago
Michuzi
TASWA KUSHIRIKI MKUTANO WA 77 WA AIPS JIJINI BAKU,AZERBAIJAN

Mkutano huo wa kawaida wa mwaka utashirikisha viongozi wa vyama vya waandishi wa habari za michezo zaidi ya 150 duniani ambao ni wanachama wa AIPS na pia kutafanyika mikutano ya mabara ya vyama vya waandishi wa habari za michezo, ambao...
11 years ago
Michuzi
TPSF yahamasisha wadau wa maendeleo kushiriki mkutano kuhusu mitaji ya ubia

Mkutano huo wa siku moja unaotarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu unatarajia kuongelea jinsi sekta binafsi inavyoweza kufaidika na mitaji ya ubia.
Akiongea na...
10 years ago
Michuzi
VIONGOZI WA NCHI WATAKIWA KUSHIRIKI, KURIDHIA MABAKUBALIANO YA MKUTANO WA MAENDELEO YA ENDELEVUNCHINI MAREKANI
Akizungumza na waandishi habari leo jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Mtandao wa Mabadilliko ya Tabia nchi (CAN), Sixberty Mwanga ,amesema kuwa mkutano huo ni muhimu katika kuweza kutekeleza eneo la mabadiliko ya tabia nchi kutokana na kadri ya siku zinavyoongezeka hali ya ukame inazidi...