Lupita kung’aa ‘Star Wars’ Desemba
NEW YORK, MAREKANI
MSHINDI wa tuzo ya Black Entertainment Television ‘BET’, Lupita Nyong’o, anatarajia kung’aa kwenye filamu mpya ya ‘Star War’ ambayo inatarajiwa kuachiwa Desemba 18, mwaka huu.
Staa huyo raia wa Kenya, mwaka jana alifanikiwa kuchukua tuzo ya BET nchini Marekani pamoja na tuzo ya Oscar kupitia filamu ya ‘12 years a Slave’.
Lupita amesema kwenye filamu hiyo mpya watu watapata shida kumtambua mapema, lakini watamuelewa mwishoni, hasa kutokana na mwonekano wa mavazi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Forbes29 Mar
‘Star Wars’ Box Office: ‘Last Jedi’ And ‘Rise Of Skywalker’ Were Christmas Openers With Summertime Legs
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
STAR WARS yamnyakua Lupita Nyong'o
11 years ago
BBC
Lupita Nyong’o joins Star Wars cast
9 years ago
Bongo528 Dec
Star Wars: The Force Awakens aliyoigiza Lupita Nyong’o yaingiza $1bn siku 12 baada ya kuingia kwenye majumba ya sinema

Star Wars: The Force Awakens imekuwa filamu iliyoingiza dola bilioni 1 haraka zaidi kwenye majumba ya sinema duniani.
Filamu hiyo ya JJ Abrams imefikia mafanikio hayo siku 12 tu baada ya kutoka na kuvunja rekodi iliyopita ya siku 13 iliyowekwa na filamu Jurassic World June, mwaka huu.
Hata hivyo Jurassic World ilipata mafanikio hayo kwa kuoneshwa China zaidi ambako The Force Awakens bado haijaoneshwa huko.
Star Wars pia iliingia fedha nyingi siku ya Christmas kwa Marekani kwa kuvuta $49.3m....
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mo Dewji azidi kunga’ra Afrika
MFANYABIASHARA maarufu hapa nchini, Mohamed Dewji ‘Mo’, amezidi kung’ara katika biashara ambako safari hii amejumuishwa kwenye orodha ya mabilionea 55 wa Afrika. Mo ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini...
5 years ago
Michuzi
Tanzania Yaendelea Kung’ara Kimataifa
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dodoma, Msemaji mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa kidunia Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika Nyanja mbalimbali ambapo katika suala hilo anasema kidunia imekuwa ya 21.
“Taasisi za Kimataifa zinatambua juhudi za Serikali yetu katika...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Sheria kuzuia kelele yaanza kung’ata
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kelele na mitetemo. Kwa sasa mtu akitaka kufanya sherehe mtaani, kupiga muziki kwa kelele, kuendesha ngoma za kukesha za nusu uchi (vigodoro) au ‘bai koko’ au kufanya ibada kwa kelele mitaani, atapaswa kulipa Sh milioni 10.
9 years ago
Habarileo03 Jan
Ashanti yazidi kung’ara daraja la kwanza
TIMU ya soka ya Ashanti United jana iliifanyia kitu mbaya Polisi Dodoma baada ya kuchapa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza iliyochezwa kwenye Uwanja wa Karume Ilala Dar es Salaam. Dalili za Ashanti kushinda zilionekana tangu mwanzo kwani ilitawala mchezo karibu maeneo yote.