Maafa Tanzania, nani awajibike?
Je Jamii inashiriki vipi kuepuka maafa nchini Tanzania?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 May
Waziri Sitta alitakiwa awajibike, siyo kulaumu
Baada ya ajali nyingi kuchukua roho za zaidi ya watu 800 katika kipindi cha miezi mitatu, na mgomo wa madereva kuathiri usafiri wa abiria wa masafa marefu nchini, hatimaye Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta juzi aliibuka na kuelezea chanzo cha tatizo hilo la ajali.
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Waziri Maselle awajibike kuhusu kauli zake
Tumeshtushwa na tuhuma nzito zilizotolewa bungeni hivi karibuni na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Steven Maselle dhidi ya balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose.
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-30L0XdpbSqg/XneOu9jVFgI/AAAAAAALkvk/NFBm7AjY66A_1RQ114aMsSPmDO2n35tvgCLcBGAsYHQ/s72-c/P6-2.jpg)
KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO
![](https://1.bp.blogspot.com/-30L0XdpbSqg/XneOu9jVFgI/AAAAAAALkvk/NFBm7AjY66A_1RQ114aMsSPmDO2n35tvgCLcBGAsYHQ/s640/P6-2.jpg)
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...
9 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA MKOANI DODOMA WAFANYA TATHMINI YA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA
10 years ago
Mwananchi21 May
NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo
Historia yake
Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.
10 years ago
Mwananchi31 May
NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP
Historia yake
Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).
10 years ago
Mwananchi05 Jun
NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF
Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania