Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maajabu ya mpira wa kengele kwa wasioona

“Kabla ya kuanza mechi, kocha unatakiwa kumchukua mchezaji mmoja mmoja na kumzungusha eneo zima la uwanja kwa dakika 30, tunafanya hivyo ili kumjengea mchezaji hali ya kuzoea mazingira ya uwanja kabla ya kucheza,” anasema kocha wa mpira wa kengele, Hashiru Tembo

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TLB WANA SHAKA NA VYAMA VYA SIASA KWA KUTOWEKA MASLAHI NA HAKI KWA WATU WASIOONA

  Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Luis Benedicto (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo, kuhusu wasiona kutengwa katika mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia hatua ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. kutoka Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho, Jonas Lubago na Katibu Mkuu wa (TLB), Emmanuel Simon.
 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Umuhimu wa fimbo nyeupe kwa wasioona

BADO watu wenye ulemavu mbalimbali wakiwemo wasioona, wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika maisha yao kila siku. Walemavu wasioona hulazimika kutembea na wasaidizi wao katika kufanisha majukumu yao mbalimbali. Licha ya...

 

10 years ago

GPL

OYA SHORI TABASAMU... KULIALIA IACHIE KENGELE!

Oya masela inakuwaje hapo kwa kitaa yako. Kwani kuna mizinguo? Ama nini? Kama barida basi freshi chaliiangu. Dah! Makachaa prezidaa wetu Jei Kei alikuwa na mzinguo f’lani wa kiafya bati wana wa Obamalendi wakafanya manuva akakaa mahali yake na wote tuseme dhenki yuu Godi kwa kumfanya awe fiti. Tumpe pole mzazi jembe arejee kwa fasi ya homu dheni tuendelee kulisongesha! Ama nini? Jiti! Wanangu kitu cha mwaka ndo kama hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mimba za utotoni, nani wa kumfunga paka kengele?

Kila kukicha kumekuwa na kesi za migogoro ya ardhi, mirathi na hata kesi za wazazi kuozesha mabinti zao wakiwa na umri mdogo licha ya suala hilo kupigiwa kelele muda mrefu.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FADHILI MAJIHA AONESHA MAAJABU KWA KUPIGWA KWA POINT THAILAND MCHEZO WA RAUNDI 12

Bondia Pungluang Sor Singyu wa Thailand kushoto akipambana na Fadhili Majiha wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Dunia WBO Asia Pacific bantamweight title uliofanyika katika uwanja wa shule ya Amphawa iliyopo Bangkok, Thailand Majiha alipigwa kwa pointBondia Fadhili Majiha wa Tanzania kushoto akipambana na Pungluang Sor Singyu wa Thailand wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Dunia WBO Asia Pacific bantamweight title uliofanyika katika uwanja wa shule...

 

10 years ago

GPL

MAAJABU WATOTO KUFIA KWA GWAJIMA

Stori: Waandishi Wetu
“KWA kweli sisi kwetu kama kanisa ni maajabu na mshtuko. Inapotokea ajali kama hii bila kutarajia lazima kutokee mshtuko. Hakuna anayependa kutokea kwa hali hii, tumuombe Mungu. Najua mengi yatasemwa lakini ukweli ni kumuachia Mungu tu,” ndivyo alivyoanza kusema Askofu Yekonia Byabaza ambaye ni Msaidizi wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Marehemu Sarah enzi za uhai...

 

10 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU

Na Haruni Sanchawa
MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...

 

10 years ago

Bongo5

Maajabu: Mmarekani amezwa kwa hiari na nyoka Anaconda ili kufanya utafiti ndani ya tumbo lake

Mtaalamu mmoja wa wanyama pori nchini Marekani, Paul Roslie aliamua kufanya utafiti ndani ya tumbo la nyoka mkubwa aina ya Anaconda ili kuchunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo. Nyoka aina ya Anaconda (picha:Google) Lengo la utafiti huo ambao ulikuwa wa kwanza wa aina yake duniani, ilikuwa ni kuchunguza maumbulie ya ndani ya Nyoka huyo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani