Maalim Seif azindua safari ya Urais
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema endapo atashinda katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, atahakikisha anaurudisha bungeni mchakato wa Rasimu ya Katiba.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Maalim Seif azindua ilani ya CUF Zanzibar
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akijibu maswali ya wanafunzi wa vyuo vikuu baada ya kuzindua ajenda ya chama chake ya kuifanya Zanzibar, kuwa kama Singapore. Na Hassan Hamad, OMKR […]
The post Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s72-c/Aaa.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA KAMATI ZA USHINDI ZA WANAWAKE KISIWANI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s640/Aaa.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wajumbe wa Kamati za Ushindi za Wanawake wa CUF kutoka Wilaya nne za Pemba huko skuli ya Fidel Castro.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ze4jKryF0-s/VewRDBXr3qI/AAAAAAABG7U/74GAvt47nIU/s640/Aa1.jpg)
Wajumbe wa Kamatui za Ushindi za Wanawake kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hanmad mara baada ya kuzindua kamati hizo huko skuli ya Fidel Castro mkoa wa Kuisni Pemba.
Na. OMKR Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad leo amezindua Kamati za Ushindi za...
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Maalim Seif ‘kidedea’, kuwania urais Zanzibar
10 years ago
Mtanzania29 May
Maalim seif ajitosa urais mara tano
ESTHER MBUSSI NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
MAKAMU wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amejitosa tena kwa mara ya tano kuchukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar.
Kutokana na hatua hiyo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kijiandae kisaikolojia kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), itakayoongozwa naye huku akisema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndiyo utaamua hatima yake kisiasa.
Maalim Seif ambaye pia ni Katibu wa CUF, aliyasema hayo jana mjini...
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Hatihati ya Maalim Seif kushinda urais Zanzibar
10 years ago
Mtanzania25 May
CUF-Maalim Seif asiachiwe urais mwenyewe
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewataka wanachama wake wenye sifa za kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho, Omar Ali Shehe, amewaambia waandishi wa habari jana kwamba, wanachama wanatakiwa wasimuachie Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad, kuchukua fomu ya urais peke yake.
“Tunawataka wanachama wenye sifa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea urais, wasimuachie Maalim...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Maalim Seif hatoshi urais wa Zanzibar — Vuai
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka Wazanzibari wasimchague Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad, iwapo atawania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Kimedai Maalim Seif, hana utashi na dhamira...
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Maalim Seif: Zanzibar,Bara zipokezane urais