Maalim Seif: CCM hawana pakutokea Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) chini ya mwamvuli wa Ukawa, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wamejipanga kushinda uchaguzi wa mwaka huu na CCM hakitakuwa na sehemu ya kutokea.
Maalim Seif aliyasema hayo jana muda mfupi baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar ikiwa ni mara yake ya tano tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Akiwa amesindikizwa na mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper17 Jul
CCM Zanzibar yamshukia Maalim Seif
NA ANTAR SANGALI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakina ubia wa sera na CUF katika uendeshaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Sheni.
Msimamo huo wa CCM, imetokana na kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, kudai hivyo, wakati akihojiwa na kituo kimoja cha luninga, hivi karibuni.
Msimamo huo ulitolewa jana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Itikadi na Uenezi (Zanzibar), Waride Bakari Jabu, wakati akizungumza na...
10 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Oct
Maalim Seif: Wenzetu hawana nia njema nasi
Naomba samahani natumia simu kuweka machapisho. Hivyo napambana na changamoto kadhaa. Tembelea link hiyo hiyo hapo chini. http://www.bbc.com/swahili/medianuai/2015/10/151021_maalim-seif
The post Maalim Seif: Wenzetu hawana nia njema nasi appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Oct
Sauti — Maalim Seif “Wenzetu hawana nia njema nasi”
The post Sauti – Maalim Seif “Wenzetu hawana nia njema nasi” appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
MichuziMAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKAGUA UWANJA WA NDEGE NA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR
10 years ago
Mtanzania07 Oct
Maalim Seif acharuka Zanzibar
NA MWANDISHI WETU, PEMBA
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema ana matumaini makubwa uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu licha ya kauli za baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuashiria kuvurugwa amani na umoja wa kitaifa kwa wananchi wa Zanzibar.
Maalim Seif alitoa tamko hilo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika majimbo ya Chakechake na Wawi uliofanyika katika uwanja wa Ditia Wawi, kisiwani Pemba...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Sitta amwangukia Maalim Seif Zanzibar
WAKATI zikiwa zimesalia siku nne kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuahirishwa, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba yuko visiwani Zanzibar kwa lengo la kuteta na viongozi wakuu visiwani humo. Ziara...
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar
10 years ago
Mwananchi10 Sep
Nitaifanya Zanzibar Singapore - Maalim Seif