Maambukizi VVU vituo vya kulaza magari juu
IMEELEZWA kuwa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), kwenye vituo vya kulaza magari ya masafa marefu yako juu kuliko wastani wa kitaifa, mikoa na wilaya husika. Wastani wa juu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA WAFUNDWA JUU YA MAAMBUKIZI YA VVU,NA UKIMWI
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Vituo vya magari makubwa kujengwa
KAMPUNI ya Uhifadhi wa Mazingira ya Green City ya jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Chama cha Wamiliki wa magari makubwa yanayosafirisha mizigo nje ya nchi (TATOA) wamekusudia kuanzisha ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lk_J7fF17gI/Xrg7Bpq1M1I/AAAAAAALprs/GXTFuwX_dLUBMpjuNDMrZFYU_gMiBrXZwCLcBGAsYHQ/s72-c/RTS32VL3.jpg)
LICHA YA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU KWA ASILIMIA 25.00, LESOTHO NI NCHI PEKEE AFRIKA AMBAYO HAIJAKUMBWA NA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-lk_J7fF17gI/Xrg7Bpq1M1I/AAAAAAALprs/GXTFuwX_dLUBMpjuNDMrZFYU_gMiBrXZwCLcBGAsYHQ/s400/RTS32VL3.jpg)
HADI sasa Lesotho haijatangaza kisa cha maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) licha ya majirani zao Afrika kusini kuwa na kesi za Covid-19 zaidi ya elfu saba na vifo zaidi ya mia moja, pia Lesotho inakua nchi pekee kati nchi 54 barani Afrika ambayo haijaripoti maambukizi ya virusi hivyo ila nchi hiyo imeendelea kuchukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kufunga, mipaka, vyuo, shule pamoja na shughuli nyingine...
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana — Mama Kikwete
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton International Center uliofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
Na Anna Nkinda – Johannesburg, Afrika ya Kusini
Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_otPAJgKXNY/VX9TGr9-pxI/AAAAAAAHf1M/Y0GVdwXCzVg/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana - Mama Salma Kikwete
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Virusi vya Corona: Ubalozi wa Marekani Tanzania waendelea kutoa tahadhari juu ya maambukizi
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Maambukizi ya VVU yapungua
TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maambukizi VVU yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...