Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI YA KUMBUKUMBU YA MZEE JAMES BUKUMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA GLOBAL PUBLISHERS

Watoto wa marehemu Mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa pili kulia) na Marsha Bukumbi (wa tatu kushoto) wakishiriki sala fupi ya kumwombea baba yao. Wanafamilia wakiongozwa na kaka wa marehemu, Mzee Zabron (wa pili kushoto) wakati wa sala fupi ya kumwombea Mzee Bukumbi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kumbukumbu ya miaka 3 ya Mwenyekiti wa Global Publishers Mzee Bukumbi yafanyika Bupandwamhela

Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada leo.

Watoto wa marehemu mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa kwanza kulia), Marsha Bukumbi (wa kwanza kushoto) na baadhi ya ndugu wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yao.

Eric Shigongo akielezea historia ya baba yake, marehemu James Bukumbi wakati wa ibada ya kumbukumbu ya miaka mitatu tangu kifo chake.

Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA MWENYEKITI WA GLOBAL PUBLISHERS MZEE BUKUMBI YAFANYIKA BUPANDWAMHELA LEO

Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada leo.Watoto wa marehemu mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa kwanza kulia), Marsha Bukumbi (wa kwanza kushoto) na baadhi ya ndugu wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yao.Eric Shigongo akielezea historia ya baba yake, marehemu James Bukumbi wakati wa ibada ya kumbukumbu ya miaka mitatu tangu kifo chake.
Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka...

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA MZEE BUKUMBI YAFANYIKA BUPANDWAMHELA LEO

Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada. Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka 3 ya mzee Bukumbi.…

 

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS...

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, imeanza mbio za kuutokomeza ugonjwa wa homa ya ini ambao kitaalamu unafahamika kama Hepatitis B. Mbio hizo, zitaambatana na uzinduzi wake kitaifa utakaofanyika Machi 7, mwaka huu, Hospitali ya Mkoa wa Kitabu Ilala, Amana, Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric...

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AIANGUKIA GLOBAL PUBLISHERS

Stori: Joseph Shaluwa
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba ameiomba radhi Kampuni ya Global Publishers Ltd inayochapisha magazeti ya Uwazi, Amani, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda na Championi kwa maneno aliyowahi kuyatoa siku za nyuma kuhusu wasanii kuandamwa na magazeti hayo. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani