Kumbukumbu ya miaka 3 ya Mwenyekiti wa Global Publishers Mzee Bukumbi yafanyika Bupandwamhela
Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada leo.
Watoto wa marehemu mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa kwanza kulia), Marsha Bukumbi (wa kwanza kushoto) na baadhi ya ndugu wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yao.
Eric Shigongo akielezea historia ya baba yake, marehemu James Bukumbi wakati wa ibada ya kumbukumbu ya miaka mitatu tangu kifo chake.
Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo26 Aug
KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA MWENYEKITI WA GLOBAL PUBLISHERS MZEE BUKUMBI YAFANYIKA BUPANDWAMHELA LEO
Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada leo.Watoto wa marehemu mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa kwanza kulia), Marsha Bukumbi (wa kwanza kushoto) na baadhi ya ndugu wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yao.Eric Shigongo akielezea historia ya baba yake, marehemu James Bukumbi wakati wa ibada ya kumbukumbu ya miaka mitatu tangu kifo chake.
Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka...
Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka...
9 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA MZEE BUKUMBI YAFANYIKA BUPANDWAMHELA LEO
Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada. Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka 3 ya mzee Bukumbi.…
9 years ago
GPLMAANDALIZI YA KUMBUKUMBU YA MZEE JAMES BUKUMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA GLOBAL PUBLISHERS
Watoto wa marehemu Mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa pili kulia) na Marsha Bukumbi (wa tatu kushoto) wakishiriki sala fupi ya kumwombea baba yao. Wanafamilia wakiongozwa na kaka wa marehemu, Mzee Zabron (wa pili kushoto) wakati wa sala fupi ya kumwombea Mzee Bukumbi.…
9 years ago
GPL01 Sep
10 years ago
MichuziKumbukumbu ya kifo miaka 9 ya Mzee Donati Kezirahabi
Ni miaka 9 tangu ulipotangulia katika makazi yako ya milele siku ile ya huzuni 5 Dec 2005. Tunakumbuka kwa huzuni upendo na uongozi wako katika familia. Miongozo na mapenzi makubwa uliyotupa ndio yanayotuwezesha kusimama na kumsifu Bwana kila siku.
Unakumbukwa sana na mke wako Hidaya Kezirahabi, watoto wako wapenzi na wajukuu, ndugu, jamaa na marafiki wote.
“Bwana akupatie...
10 years ago
GPLMAWAKALA NA WAUZA MAGAZETI WASHEREHEKEA MIAKA 17 YA KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akizungumza na mawakala pamoja na wauzaji wa magazeti Dar Live leo. Wauzaji na mawakala wa magazeti wakiwa kwenye sherehe hizo. Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho (kulia) akiwa na Ofisa Utawala wa Global, Soud Kivea. MAWAKALA na wauzaji wa…
10 years ago
MichuziKUMBUKUMBU YA MIAKA 7 YA KIFO CHA MZEE SHAURI TIMOTHEO NATHAN
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007) Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika saba sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007) ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani Tarehe 18/08/2025.
Nimajonzi sana kwetu hasa ukizingatia kuwa uliondoka katika tarehe ambayo kitinda mimba wako Mroki Mroki alizaliwa na ni siku kumi tu baada ya kufunga ndoa Mroki "Father Kidevu".
Unakumbukwa na wengi sana maana...
10 years ago
GPLMAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania