Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABALOZI WA PALESTINA, EU NA RWANDA WATEMBELEA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea kutoka kwa Balozi wa Palestina nchini Dkt. Nasri Abu Jaish ambaye amemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na Balozi wa Palestina nchini Dkt. Nasri Abu Jaish ambaye amemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiongea na Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Segore Kayihura...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein

 Balozi wa Sudan nchini, Dr Yassir Mohamed Ali akijiandaa kusaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein, aliyefariki Jumatano wiki hiiBalozi wa Iran nchini, Mehd Aghajafari akisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein,...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na watendaji wizara ya Katiba na Sheria

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Katiba na Sheria na Idara zake wakimsikiliza Waziri Abubakar Khamis Bakary(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL FC YALALA KWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Straika wa Global FC, Benjamin Mwanambuu akiifungia bao timu yake. Timu ya Wizara ya Sheria na Katiba ikifunga mojawapo ya mabao yake dhidi ya Global FC.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria aripoti ofisini

KM Tarishi 1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akisaini kitabu mara baada ya kuripoti katika ofisini jana Jumatatu, Novemba 10, 2014.

KM Tarishi 2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi (kulia) ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akifurahi na watumishi wa Wizara hiyo, Bi. Joyce Mtuma...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maalim Seif atembelea Banda la Wizara ya Katiba na Sheria

1

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Felistas Mushi jana (Aprili 15, 2014) wakati wa maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde (kulia) akimhudumia mwananchi aliyefika jana (Aprili 15, 2014) katika banda la...

 

10 years ago

Vijimambo

MASAJU APOKEWA KWA SHANGWE WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akikaribishwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa shada la maua kutoka kwa mtumishi wa Wizara Bi. Christina Jenga leo (Jumatano, Januari 7, 2015) jijini Dar es Salaam huku Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maimuna Tarishi akishuhudia. Bw. Masaju alifika Wizarani kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe na Rais Jakaya Kikwete ili kubadilishana mawazo na viongozi na watumishi wa Wizara.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana...

 

11 years ago

Michuzi

Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na sheria

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar jana jioni.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani