MASAJU APOKEWA KWA SHANGWE WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akikaribishwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa shada la maua kutoka kwa mtumishi wa Wizara Bi. Christina Jenga leo (Jumatano, Januari 7, 2015) jijini Dar es Salaam huku Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maimuna Tarishi akishuhudia. Bw. Masaju alifika Wizarani kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe na Rais Jakaya Kikwete ili kubadilishana mawazo na viongozi na watumishi wa Wizara.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLGLOBAL FC YALALA KWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qMca2gfCFFU/VNpNCn3DtQI/AAAAAAABkwc/YxF6HaOWk80/s72-c/IMG_5469.jpg)
Dk Shein akutana na watendaji wizara ya Katiba na Sheria
![](http://2.bp.blogspot.com/-qMca2gfCFFU/VNpNCn3DtQI/AAAAAAABkwc/YxF6HaOWk80/s640/IMG_5469.jpg)
10 years ago
MichuziMABALOZI WA PALESTINA, EU NA RWANDA WATEMBELEA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OqRp0iAXXaw/VFC5lfqRHHI/AAAAAAAGuCU/XWO7ej8MVKo/s1600/Rwanda%2B1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria aripoti ofisini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akisaini kitabu mara baada ya kuripoti katika ofisini jana Jumatatu, Novemba 10, 2014.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi (kulia) ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akifurahi na watumishi wa Wizara hiyo, Bi. Joyce Mtuma...
11 years ago
Dewji Blog16 Apr
Maalim Seif atembelea Banda la Wizara ya Katiba na Sheria
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Felistas Mushi jana (Aprili 15, 2014) wakati wa maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde (kulia) akimhudumia mwananchi aliyefika jana (Aprili 15, 2014) katika banda la...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bV3aZi248mg/U1AeA6lEVaI/AAAAAAAFbi8/qMgz17b3VM4/s72-c/unnamed1.jpg)
Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na sheria
![](http://3.bp.blogspot.com/-bV3aZi248mg/U1AeA6lEVaI/AAAAAAAFbi8/qMgz17b3VM4/s1600/unnamed1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RxuEYAoRqvQ/U1AeBYjFs_I/AAAAAAAFbjA/_lx5OxNnaFc/s1600/unnamed2.jpg)
9 years ago
Vijimambo06 Oct
RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGUA JENGO JPYA LA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/10/177.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/10/252.jpg)
10 years ago
Michuzi06 Jul