Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABANDA YA WAMACHINGA SOKO LA KARUME YATEKETEA KWA MOTO

Moto ukiwa unaendelea kuwaka katika soko la Karume 'Mchikichini' ukiendelea kuteketeza mabanda. Hali ilikuwa tete usiku wa kuamkia leo katika mabanda ya Wamachinga eneo la Soko Karume 'Mchikichini', Ilala jijini Dar, baada ya kutokea moto mkuwa na kuteketeza mabanda yote ya wafanyabiashara eneo hilo. Fire walifika katika eneo la tukio na kuondoka baada ya kukubali kushindwa kuzima moto huo hakuna walichoweza kuokoa. Nguzo za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Soko la Karume lateketea kwa moto

>Soko la Karume (soko la mchikichini) limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana. Chanzo cha moto  kinadaiwa ni hitilafu ya umeme iliyoanzia kwenye ghala la kuhifadhia bidhaa.

 

11 years ago

GPL

SOKO LA KARUME LATEKETEA KWA MOTO TANGU JANA USIKU

Mali za wafanyabiashara zikiteketea. Waokoaji wakijitahidi kuzima moto. Kibaka akila kisago baada ya kujaribu kuiba wakati wengine wakililia…

 

11 years ago

CloudsFM

MOTO ULIVYOTEKETEZA SOKO LA KARUME MCHIKICHINI,DAR

Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam ambalo linateketea na moto usiku WA JANA. Taarifa zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo.

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Newssss: moto wateketeza soko la mitumba la karume jijini Dar usiku huu

Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam  ambalo linateketea na moto usiku huu.  Taarifa zilizotufikia katika meza ya usiku zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika  kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo  hilo. Tunafuatilia kujua kama kuna watu walioathirika na moto huo pamoja...

 

9 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Bongo5

Nyumba ya Batuli yateketea kwa moto

Nyumba ya muigizaji wa filamu, Batuli imetekea kwa moto. Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. “Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM. “Iliniuma sana vitu […]

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA, DAR

Nyumba iliyoteketea kwa moto. Mashuhuda wa tukio wakitazama nyumba iliyoungua.…

 

10 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto jijini Dar

 “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.

 

10 years ago

Habarileo

Magodoro sekondari Ndwika yateketea kwa moto

CHUMBA cha kuhifadhia magodoro pamoja na vifaa vingine katika shule ya sekondari ya bweni ya wasichana ya Ndwika iliyopo kata ya Lulindi halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kimeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa katika shule hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani